Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Nimeanza ufugaji wa kuku nipo na kuroiler. Najifunza next year nataka niingie kwenye layers na broiler
 
Naombeni ushauri wenu.

Nina ishi Dar, ila nataka kuanza ufugaji wa kuku na nataka kuanza na vifaranga kama 150, na mabanda nimejenga mkoan huko Kilimanjaro na. nitamweka kijana wa kusimamia ufugaji huo.

Tatizo linakuja nianze kufuga kuku gani? Kwa sababu nataka faida nzuri ya mayai na nyama. Nashidwa kujua aina gani ya kuku au vifaranga gani ninunue na wapi wanapatikana.
 
Naombeni ushauri wenu.
Nina ishi dar, ila nataka kuanza ufugaji wa kuku na nataka kuanza na vifaranga kama 150, na mabanda nimejenga mkoan huko Kilimanjaro na. nitamweka kijana wa kusimamia ufugaji huo.

Tatizo linakuja nianze kufuga kuku gani? Kwa sababu nataka faida nzuri ya mayai na nyama. Nashidwa kujua aina gani ya kuku au vifaranga gani ninunue na wapi wanapatikana.
Yani mpaka unajenga banda haujui inataka kufika kuku wa aina gani na wapi wanapatikana.wewe haupo serious huenda hata banda huna.
 
Write your reply.

Pole mpaka unamaliza kujenga banda bado hujajua uanze na kuku wa aina gani!!!!...

Ushauri wangu kwako;

kuku wa nyama ni broiler n kuku wa mayai ni layer,
kama unahitaji vyote kwa wakati mmoja (nyama na mayai) basi unahitaji kufuga kuku chotara aina ya kuroiler

Hakikisha umepata elimu ya kutosha kuhusu ufugaji wa kuku, ufugaji wa kuku unakabiliwa na changamoto nyingi sana hasa magonjwa kama hujajianda vya kutosha faida utaishia kuisikia tu.
 
Mwenyewe upo Dar, kuku ufugie Kilimanjaro...remote controlu!

Sasa muweke mangi mwenzio auze mzigo uje unalia
 
Yani mpaka unajenga banda haujui inataka kufika kuku wa aina gani na wapi wanapatikana.wewe haupo serious huenda hata banda huna

Noooo, saiv wapo wa kienyeji kama 6 na banda ni kubwa sana nilijenga nikapata shida kidogo skuweza kuweka kuku, but kwa sasa nahitaji kufuga kuku wa nyama na mayai pia
 
Write your reply...Pole mpaka unamaliza kujenga banda bado hujajua uanze na kuku wa aina gani!!!!...

Ushauri wangu kwako;

kuku wa nyama ni broiler n kuku wa mayai ni layer,
kama unahitaji vyote kwa wakati mmoja (nyama na mayai) basi unahitaji kufuga kuku chotara aina ya kuroiler

Hakikisha umepata elimu ya kutosha kuhusu ufugaji wa kuku, ufugaji wa kuku unakabiliwa na changamoto nyingi sana hasa magonjwa kama hujajianda vya kutosha faida utaishia kuisikia tu.

Naomba nisaidie nitapata wapi mayai au vifaranga mpedwa
 
Nimeajiriwa sitoweza kusimamia ila mzee wangu atasimamia cz aliwah fuga kuku, ni dada wa kaz namweka tu
Mkuu kama hujapata mtu wa kusimamia anza na mimi.
Nakushauri anza kufuga Kuku wa kienyeji(pure local breed) na usianze na vifaranga wewe tafuta tetea 30 na jogoo 3 wazur. Andaa chakula halafu watunzwe vizur within 8 months utakuwa na Kuku wasiopungua 300.
 
Fuga kuku wa nyama, kwa Kilimanjaro kifaranga kimoja 1500/= Chakula utatumia si zaidi ya mifuko saba na mfuko mmoja kutoka Harsho ni 57000/=
 
Naombeni ushauri wenu.
Nina ishi dar, ila nataka kuanza ufugaji wa kuku na nataka kuanza na vifaranga kama 150, na mabanda nimejenga mkoan huko Kilimanjaro na. nitamweka kijana wa kusimamia ufugaji huo.
Tatizo linakuja nianze kufuga kuku gani? Kwa sababu nataka faida nzuri ya mayai na nyama. Nashidwa kujua aina gani ya kuku au vifaranga gani ninunue na wapi wanapatikana.
Mkuu pole sana nakusihi jamaa yangu tafuta kijana mwenye passion na hiki kitu la sivyo utapata hasara sana maana wengi tunawachukulia vijana au wafanyakazi ndivyo sivyo na pili why uende moshi hawa kuku unaweza kuwafuga hapa dar then ukapiga pesa na ya kodi kama umepanga ukapata.Chukulia umewafugia pale kimara au goda ndani kidogo kwenye nyumab za kupanga ambaye mzee mwenye nyumba kakuruhusu ufuge.. ukiokota mayai 30 kwa cku ni sawa na 450000 kwa mwezi then kijana wa kazi unampatia 100,000 then 100,000 ya chakula then 200000 unampa manka then 50,000 unanunua umeme huoni maisha yanasonga chalii yangu .sasa ukifuga moshi then wewe uko dar aisee mangi utapiga simu kila cku then kicheche atakula mayai na wewe ukipiga hesabuu ya kuua cku mbili na nauli kwenda kusimamia kuku 150 utaona aibu sana chalii yangu.
 
Back
Top Bottom