GEMO
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 250
- 277
Return yake ikoje mkuuMkuu andaa laki tano maana kwa uzoefu wangu mimi nilianza na kuku 200 kwa mtaji wa milioni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Return yake ikoje mkuuMkuu andaa laki tano maana kwa uzoefu wangu mimi nilianza na kuku 200 kwa mtaji wa milioni.
Kwa kuku 200 nilikuwa napata laki tatu faida kila baada ya wiki tanoReturn yake ikoje mkuu
Hii mifuko 4, starter mingapi, finisher Je?vifaranga 100=150000
chakura mifuko 4=200000
dawa na chanjo inategemea
nasubir haswaNgoja waje wadau wa Mambo hii
Yani mpaka unajenga banda haujui inataka kufika kuku wa aina gani na wapi wanapatikana.wewe haupo serious huenda hata banda huna.Naombeni ushauri wenu.
Nina ishi dar, ila nataka kuanza ufugaji wa kuku na nataka kuanza na vifaranga kama 150, na mabanda nimejenga mkoan huko Kilimanjaro na. nitamweka kijana wa kusimamia ufugaji huo.
Tatizo linakuja nianze kufuga kuku gani? Kwa sababu nataka faida nzuri ya mayai na nyama. Nashidwa kujua aina gani ya kuku au vifaranga gani ninunue na wapi wanapatikana.
Yani mpaka unajenga banda haujui inataka kufika kuku wa aina gani na wapi wanapatikana.wewe haupo serious huenda hata banda huna
Unataka kufuga kwa simu eeh?
Sawa
Mwenyewe upo Dar, kuku ufugie Kilimanjaro...remote controlu!
Sasa muweke mangi mwenzio auze mzigo uje unalia
Write your reply...Pole mpaka unamaliza kujenga banda bado hujajua uanze na kuku wa aina gani!!!!...
Ushauri wangu kwako;
kuku wa nyama ni broiler n kuku wa mayai ni layer,
kama unahitaji vyote kwa wakati mmoja (nyama na mayai) basi unahitaji kufuga kuku chotara aina ya kuroiler
Hakikisha umepata elimu ya kutosha kuhusu ufugaji wa kuku, ufugaji wa kuku unakabiliwa na changamoto nyingi sana hasa magonjwa kama hujajianda vya kutosha faida utaishia kuisikia tu.
Mkuu kama hujapata mtu wa kusimamia anza na mimi.Nimeajiriwa sitoweza kusimamia ila mzee wangu atasimamia cz aliwah fuga kuku, ni dada wa kaz namweka tu
Mkuu pole sana nakusihi jamaa yangu tafuta kijana mwenye passion na hiki kitu la sivyo utapata hasara sana maana wengi tunawachukulia vijana au wafanyakazi ndivyo sivyo na pili why uende moshi hawa kuku unaweza kuwafuga hapa dar then ukapiga pesa na ya kodi kama umepanga ukapata.Chukulia umewafugia pale kimara au goda ndani kidogo kwenye nyumab za kupanga ambaye mzee mwenye nyumba kakuruhusu ufuge.. ukiokota mayai 30 kwa cku ni sawa na 450000 kwa mwezi then kijana wa kazi unampatia 100,000 then 100,000 ya chakula then 200000 unampa manka then 50,000 unanunua umeme huoni maisha yanasonga chalii yangu .sasa ukifuga moshi then wewe uko dar aisee mangi utapiga simu kila cku then kicheche atakula mayai na wewe ukipiga hesabuu ya kuua cku mbili na nauli kwenda kusimamia kuku 150 utaona aibu sana chalii yangu.Naombeni ushauri wenu.
Nina ishi dar, ila nataka kuanza ufugaji wa kuku na nataka kuanza na vifaranga kama 150, na mabanda nimejenga mkoan huko Kilimanjaro na. nitamweka kijana wa kusimamia ufugaji huo.
Tatizo linakuja nianze kufuga kuku gani? Kwa sababu nataka faida nzuri ya mayai na nyama. Nashidwa kujua aina gani ya kuku au vifaranga gani ninunue na wapi wanapatikana.