Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono makubwa, alikumbwa na changamoto kadhaa kwenye uzalishaji… lakini hakukata tamaa!
Baada ya kusikia kuhusu bidhaa na huduma za Koudijs – aliamua kuchukua hatua. Tuliongozana na mtaalamu kutoka Koudijs hadi mashambani kwake, tukajionea hali halisi na kujifunza mengi kuhusu maboresho anayoyafanya.
Video hii ni ya kipekee sana!
Utaona jinsi maarifa sahihi na msaada wa kitaalamu vinavyoweza kubadilisha kabisa mwelekeo wa mradi wa ufugaji 🐣➡️💰