ksimba1606
Member
- Aug 15, 2011
- 19
- 9
Heshima yenu wanaJF, Nina wazo la kufunga kuku, kwa nia ya kujiongezea kipato naomba ushauri wa namna ya kupata mtu au mahali ninapoweza kupata ushauri wa :- kuku gani wa kufuga (wa kisasa au wa kienyeji) namna ya kufuga na hali ya kibiasha kuhusiana na soko lake!!