ufugaji wa kuku

ufugaji wa kuku

ksimba1606

Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
19
Reaction score
9
Heshima yenu wanaJF, Nina wazo la kufunga kuku, kwa nia ya kujiongezea kipato naomba ushauri wa namna ya kupata mtu au mahali ninapoweza kupata ushauri wa :- kuku gani wa kufuga (wa kisasa au wa kienyeji) namna ya kufuga na hali ya kibiasha kuhusiana na soko lake!!
 
upo mkoa gani?
 
Mkuu tizama katika thread za mwanzo kabisa za jukwaa hili zipo za kuku wa kisasa na kienyeji pia. Ukisoma hizi utapata mwanga.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom