wakaliwetu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2020
- 671
- 1,143
Kaka karibu sana tufuge pamoja nimevuka salama hii changamoto ila kusema ukweli maumivu yake ni makubwa sana , karibu sana wakati wowote nipo kibamba kwa Mangipole kiongozi kwa changamoto hii kubwa! nina imani utavuka. Swali langu mbuzi wako ni wa aina gani? naweza kuja kuwaona?
nitumie no yako dm tukutane mimi niko bunju pia mimi ni dadaKaka karibu sana tufuge pamoja nimevuka salama hii changamoto ila kusema ukweli maumivu yake ni makubwa sana , karibu sana wakati wowote nipo kibamba kwa Mangi
Njoo in box pleasenitumie no yako dm tukutane mimi niko bunju pia mimi ni dada
Ufafanuzi mzuri sana huu ubarikiwe sana mkuu, kwaujumla yanawasaidia sana Mbuzi haya mawe maana yana madini mbali mbali
Karibu sana ktk ufugaji huu, niseme ukweli sijawahi tumia Hidroponic wala Azolla ktk ufugaji wangu zaidi ni kununuwa majani yale yaliyo tengenezwa kwaajili ya mifugo Haye pale vikuge kongowe.wakuu nawashukuruni sana kwa michango yenu na kututia moyo sisi tunaotaka kuanza ufugaji..
mimi nataka kununua shamba nijenge mabanda kwaajili ya mbuzi mnanishauri nini!? zaidi nauliza hidroponic fodder na azolla zinawafaa hawa viumbe kwaajili ya kupunguza gharama ya chakula!?..
nawashukuru sana in advance..
wakaliwetu Manchid JokaKuu na wengineo..
ni sawa mkuu wangu, kuna sababu zozote nyuma ya hilo au ni maamuzi tu binafsi..Karibu sana ktk ufugaji huu, niseme ukweli sijawahi tumia Hidroponic wala Azolla ktk ufugaji wangu zaidi ni kununuwa majani yale yaliyo tengenezwa kwaajili ya mifugo Haye pale vikuge kongowe.
Kwakweli sijawahi kuona mtu akilisha mifugo hivyo ila kipindi hiki cha ukame ndio tunatumia haya majani yanayotengenezwa maalumu kwa mifugo unachanganya na molasisi kiasi wanatumia vyema.ni sawa mkuu wangu, kuna sababu zozote nyuma ya hilo au ni maamuzi tu binafsi..
ni sawa mkuu wangu nashukuru sana kwa maelezo..Kwakweli sijawahi kuona mtu akilisha mifugo hivyo ila kipindi hiki cha ukame ndio tunatumia haya majani yanayotengenezwa maalumu kwa mifugo unachanganya na molasisi kiasi wanatumia vyema.
Wewe unafugia wapi?ni sawa mkuu wangu nashukuru sana kwa maelezo..
ndio nataka kuanza toka 0 mkuu nilikuja hapa kuomba ushauri kwanza..Wewe unafugia wapi?
Ok nafikiri ulisoma kurasa zilizo pita mpaka sasa kuna kitu ulipata, nikuombe kitu kimoja usisite kuuliza pindi unapo kwama ili uweze kufikia malengo yako ktk ufugaji, kumbuka kuchaguwa mbegu bora na kuchaguwa dume bora wakuzalisha shambani kwako, na ukumbuke ufwatiliaji wa chanjo kamili kwaajili ya kuepuka magonjwa ya mlipuko.ndio nataka kuanza toka 0 mkuu nilikuja hapa kuomba ushauri kwanza..
saana mkuu jana nimelala saa 7 kisa huu uzi niko inspired sana tunaweza peana mawasiliano PM tukawasiliana kwa ukaribu..Ok nafikiri ulisoma kurasa zilizo pita mpaka sasa kuna kitu ulipata, nikuombe kitu kimoja usisite kuuliza pindi unapo kwama ili uweze kufikia malengo yako ktk ufugaji, kumbuka kuchaguwa mbegu bora na kuchaguwa dume bora wakuzalisha shambani kwako, na ukumbuke ufwatiliaji wa chanjo kamili kwaajili ya kuepuka magonjwa ya mlipuko.
wakuu nawashukuruni sana kwa michango yenu na kututia moyo sisi tunaotaka kuanza ufugaji..
mimi nataka kununua shamba nijenge mabanda kwaajili ya mbuzi mnanishauri nini!? zaidi nauliza hidroponic fodder na azolla zinawafaa hawa viumbe kwaajili ya kupunguza gharama ya chakula!?..
nawashukuru sana in advance..
wakaliwetu Manchid JokaKuu na wengineo..