Ufugaji wa Mbuzi, Kanga, Bata Mzinga na Kuku

Ufugaji wa Mbuzi, Kanga, Bata Mzinga na Kuku

Habari za leo ndugu kwaupande wangu sijawahi kuuza hivyo lakini naamini itategemeana na maeneo husika na mahitaji ya muuzaji, maana kuuza mwenye Mimba lazima mfugaji atakuwa amebanwa na hana njia mbadala lazima amtoe mwenye Mimba.
Mkuu me nilikuwa naomba msaada wapi naweza kupata mbuzi kama majike 5 na madume wawili nianze ufugaji pole pole naomba msaada tafadhali
 
Nahitaji kununua mbuzi wa kufuga tafadhali je wapi naweza kuwapata wa kununua hata majike 5 na madume wawili tafadhali.....
@Papizo inategemea uko wapi au unahitaji mbuzi wenye sifa zipi. Mbuzi wapo kila mahali Tanzania nzima. Ila kama unahitaji mbuzi mfano wanaozaa mapacha wanapatikaba zaidi Mbozi.
 
[emoji3531]
IMG-20220203-WA0003.jpg
IMG_20220128_125416_193.jpg
IMG_20220118_213531_009.jpg
IMG_20220104_155537_761.jpg
IMG_20220101_123733_523.jpg
 
DAAAH CHA UCHU MPENDA NYAMA KUFUGA WALA SIWEZI, KILA JMOSI NITAKUWA NAZUNGUKA BANDANI NA KISU CHANGU
 
DAAAH CHA UCHU MPENDA NYAMA KUFUGA WALA SIWEZI, KILA JMOSI NITAKUWA NAZUNGUKA BANDANI NA KISU CHANGU
Hahaaaaaa hapo dawa ni kuwa na mifugo. Unajua ni rahisi kuwa na tamaa na kitu ambacho huna na hujazoea. mpasta fuga
 
daah ufugaji ukiuwezea raha sana
Mimi naamini kabisa ukitaka kufuga utaweza kikubwa utambue na ujielewe unataka kufuga kwa malengo gani. Mara nyingi sana nawashauri yeyote anae taka kuanza ufugaji kwanza tafuta wafugaji ambao wamesha kutangulia kwa kadiri ya mfugo unao taka kuufuga, njai hiyo itakusaidia sana kuzijua changamoto na njia za kufwata ili ufikie malengo yako ktk ufugaji, mimi nilisha jitolea anaetaka kujifunza kwenye ufugaji wa Mbuzi au Mbwa namkaribisha Nyumbani aje tujifunze pamoja.
 
Nimeanza ufugaji wa bata,bata wangu ametotoa je ni chakula gani bora kwa vifaranga?
 
Nimevutiwqsqna na mbuzi nhoja nijipange nianze na mbuzi japo 20 banda sijuinsasa linatakiwa liweje
 
Back
Top Bottom