Mbuzi wangu wamegoma kabisa kulamba hili jiwe . Kwako mfugaji uliwezaje kuwazoesha mbuzi wako jiwe hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbuzi wangu wamegoma kabisa kulamba hili jiwe . Kwako mfugaji uliwezaje kuwazoesha mbuzi wako jiwe hili
Mbuzi wangu wamegoma kabisa kulamba hili jiwe . Kwako mfugaji uliwezaje kuwazoesha mbuzi wako jiwe hili
Liache humo kwenye banda lao watalilamba tu kuna wakati wanakuwa kama wanakiburi na pia jitahidi uwe unawapatia chumvi kwenye chakula chao hasa pumba pindi uwapatiapo.Mbuzi wangu wamegoma kabisa kulamba hili jiwe . Kwako mfugaji uliwezaje kuwazoesha mbuzi wako jiwe hili
Nayo pia inaweza kuwa sababu lakini watalizoe tu kuna Mbuzi kwangu alikuwa hali maganda ya ndizi nilikuwa nampatia kila mara baada ya miezi 2 aliyatafuna mweneyewe😂😂..labda kwasababu hukuwaanzisha kulamba hilo jiwe tangu wakiwa wadogo.
@Kazakh destroyer yes hydroponic fodder zinafaa kulisha.wakuu nawashukuruni sana kwa michango yenu na kututia moyo sisi tunaotaka kuanza ufugaji..
mimi nataka kununua shamba nijenge mabanda kwaajili ya mbuzi mnanishauri nini!? zaidi nauliza hidroponic fodder na azolla zinawafaa hawa viumbe kwaajili ya kupunguza gharama ya chakula!?..
nawashukuru sana in advance..
wakaliwetu Manchid JokaKuu na wengineo..
Tumeanza taratibu sasa, nawasalimuni nyote kwa jina la Mungu. Isiolo/Galla wameanza kutupatia wajukuu taratibu, tunamshukuru Mungu kwa kila jambo.
View attachment 2033396
View attachment 2033397
View attachment 2033398
View attachment 2033399
kuotesha ni rahisi kujifunza mkuu si kazi kubwa sanaaa kama kuanza kufuga..@Kazakh destroyer yes hydroponic fodder zinafaa kulisha.
Swali ni je unajua kuotesha?
hongera sana kaka naona kambuzi kanafurahisha sana hapo hii moment huwa nzuri sana ...Tumeanza taratibu sasa, nawasalimuni nyote kwa jina la Mungu. Isiolo/Galla wameanza kutupatia wajukuu taratibu, tunamshukuru Mungu kwa kila jambo.
View attachment 2033396
View attachment 2033397
View attachment 2033398
View attachment 2033399
Amina kaka tunamtumainia Mungu tusonge mbele.hongera sana kaka naona kambuzi kanafurahisha sana hapo hii moment huwa nzuri sana ...
Hawa mimi niliwatoa Arusha nawaleta Dar, naomba nikupatie number ya mhusika anae wauza aweze kukusaidia ushauri.0712 980 2325Mkuu nahitaji Hawa Mbuzi kwa Singida/ kusafirisha kupeleka Singida
Nawapataje?
Hongera sana nduguTumeanza taratibu sasa, nawasalimuni nyote kwa jina la Mungu. Isiolo/Galla wameanza kutupatia wajukuu taratibu, tunamshukuru Mungu kwa kila jambo.
View attachment 2033396
View attachment 2033397
View attachment 2033398
View attachment 2033399
Amina🙌Hongera sana ndugu
Habari za leo ndugu kwaupande wangu sijawahi kuuza hivyo lakini naamini itategemeana na maeneo husika na mahitaji ya muuzaji, maana kuuza mwenye Mimba lazima mfugaji atakuwa amebanwa na hana njia mbadala lazima amtoe mwenye Mimba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wahuni wote peponiJaman huyo kuku hapo mbona amefanana na kocha wa utopolo aliyepita, kweli dunian wawili wawili.