Mkuu me nilikuwa naomba msaada wapi naweza kupata mbuzi kama majike 5 na madume wawili nianze ufugaji pole pole naomba msaada tafadhaliHabari za leo ndugu kwaupande wangu sijawahi kuuza hivyo lakini naamini itategemeana na maeneo husika na mahitaji ya muuzaji, maana kuuza mwenye Mimba lazima mfugaji atakuwa amebanwa na hana njia mbadala lazima amtoe mwenye Mimba.
Vipi bagamoyo naweza kupata sehemu ya kununua maeneo una connection na watu wa bagamoyo??ila nataka kufugia bagamoyo
@Papizo inategemea uko wapi au unahitaji mbuzi wenye sifa zipi. Mbuzi wapo kila mahali Tanzania nzima. Ila kama unahitaji mbuzi mfano wanaozaa mapacha wanapatikaba zaidi Mbozi.Nahitaji kununua mbuzi wa kufuga tafadhali je wapi naweza kuwapata wa kununua hata majike 5 na madume wawili tafadhali.....
Mungu aibariki kazi ya mikono yako udumu.
Upo mkoa gani ndugu?Nahitaji kondoo mmoja dume
Hahaaaaaa hapo dawa ni kuwa na mifugo. Unajua ni rahisi kuwa na tamaa na kitu ambacho huna na hujazoea. mpasta fugaDAAAH CHA UCHU MPENDA NYAMA KUFUGA WALA SIWEZI, KILA JMOSI NITAKUWA NAZUNGUKA BANDANI NA KISU CHANGU
Mimi naamini kabisa ukitaka kufuga utaweza kikubwa utambue na ujielewe unataka kufuga kwa malengo gani. Mara nyingi sana nawashauri yeyote anae taka kuanza ufugaji kwanza tafuta wafugaji ambao wamesha kutangulia kwa kadiri ya mfugo unao taka kuufuga, njai hiyo itakusaidia sana kuzijua changamoto na njia za kufwata ili ufikie malengo yako ktk ufugaji, mimi nilisha jitolea anaetaka kujifunza kwenye ufugaji wa Mbuzi au Mbwa namkaribisha Nyumbani aje tujifunze pamoja.daah ufugaji ukiuwezea raha sana
Ratio ya majike na madume ni 10:1Nahitaji kununua mbuzi wa kufuga tafadhali je wapi naweza kuwapata wa kununua hata majike 5 na madume wawili tafadhali.....
Wapivifaranga wanapatikana, kuna broiler, tanbro (chotara), na layers. karibu. 0716883266
Hujui linatakiwa liweje?Nimevutiwqsqna na mbuzi nhoja nijipange nianze na mbuzi japo 20 banda sijuinsasa linatakiwa liweje
Kuna Jamaa aliwatoa MboziNahitaji mbuzi wanaozaa mapacha.
Duh!! Mbozi mie nipo dar! Sh ngapi kwa mmoja?Kuna Jamaa aliwatoa Mbozi