HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jan 1, 2023 #261 Hivi mbuzi lazima wale majani ya mitini? Ukiwakatia majani?
S shaloom mfinanga New Member Joined Feb 11, 2017 Posts 3 Reaction score 0 Jan 22, 2023 #262 Msaada juu ya ufugaji wa kanga majumbani na aina ya banda kuzalisha vifaranga
Manchid JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 221 Reaction score 475 Jan 25, 2023 Thread starter #263 Kijijini
zabron k JF-Expert Member Joined Nov 11, 2015 Posts 943 Reaction score 1,107 Jan 28, 2023 #264 Naomba kujua joto na unyevu linatakiwa kuwa kiasi gani kwenye mashine ya kutotolesha (incubator) Kwa mayai ya Bata wa kisasa?
Naomba kujua joto na unyevu linatakiwa kuwa kiasi gani kwenye mashine ya kutotolesha (incubator) Kwa mayai ya Bata wa kisasa?
blacksamurai JF-Expert Member Joined Jan 1, 2019 Posts 387 Reaction score 646 Feb 10, 2023 #265 makaveli10 said: Duh!! Mbozi mie nipo dar! Sh ngapi kwa mmoja? Click to expand... Wacheki jamaa wapo dar page yao insta wanaitwa mavuno. Wanijihusisha na ufugaji na uuzaji wa mbuzi
makaveli10 said: Duh!! Mbozi mie nipo dar! Sh ngapi kwa mmoja? Click to expand... Wacheki jamaa wapo dar page yao insta wanaitwa mavuno. Wanijihusisha na ufugaji na uuzaji wa mbuzi