Naomba niwaambie kitu kimoja tushirikishane juu ya upatikanaji wa dawa/chanjo za mifugo yetu na vifaa mbali mbali vinavyohitajika kwa mfugo wetu ili kama inatakiwa kusaidiana jinsi ya kuvipata iwe rahisi naomba kuwakilisha.
Wabongo bwana!Umeandika Kama unakimbizwa mkuu ...
Hujasema Ni mbuzi wangapi...
Breed gani?
Changamoto?
Faida ?
Masoko?
Kaa kwa kutulia au ulitaka Tuu tuone unae mbuzi ,kanga na kuku?
Kunywa maji andaa Uzi uliojitosheleza.
Hongera sana mkuuNipo Singida mkuu nakukaribisha sana
Jibu mujaarabuChangamoto sijakutana nazo bado kutokana na maeneo niliopo, soko la Mbuzi ni la uhakika kila mtu analifahamu, breed nmesema ni kienyeji pure,faida nmeizungumzia ya uzalianaji wa haraka maana bado sijaanza kuuza, nawewe kaa chini Kwa kutulia usome Kwa makini usikurupuke
Wewe utakuwa mwanamke siyo bure.Jaman huyo kuku hapo mbona amefanana na kocha wa utopolo aliyepita, kweli dunian wawili wawili.
Kaka pole na hiyo changamoto, kwanza naomba nikuulize alipotoka mimba uliita vet aje kumchoma sindano ya kuzuia maambukizi? Antibiotic.Habari zenu wafugaji wenzangu nina changamoto kwa mbuzi wangu huyu kapata uvimbe mkubwa sehemu ya juu ya paja na ni mwezi mmoja na nusu baada ya mimba yake kutoka. naomba saada wa kiushauri namna ya kukabiliana na changamoto hii
View attachment 1739401
View attachment 1739402
View attachment 1739403
View attachment 1739404
Tofauti ya mbuzi wa kienyeji pure na hao cross inaleta madhara gani mkuu? Nisaidie, asanteUkitaka kupata Mbegu iliyo bora sio cross inabidi kuwatafuta huko, na itakuwa vyema ukipata kwa wafugaji kuliko kuwafwatilia mnadani
Hapa nakuelewa sana mkuu, wewe umepevuka hasa.Niseme kitu kimoja jamani tuliopo kwenye ajira tuanze sasa kutayarisha mashamba yetu kwa anae weza mifugo na kilimo na aliyepo na nafasi ayaendeleze pale alipo fikia kuna maisha ya baadae yanayo tuhitaji hasa sisi waajiriwa baada ya ajira.
Samahani mkuu unao uzoefu wa kufuga na ng'ombe wa maziwa? AsanteNiseme kitu kimoja jamani tuliopo kwenye ajira tuanze sasa kutayarisha mashamba yetu kwa anae weza mifugo na kilimo na aliyepo na nafasi ayaendeleze pale alipo fikia kuna maisha ya baadae yanayo tuhitaji hasa sisi waajiriwa baada ya ajira.
Ki ukweli sijawahi kuita vet na huwa wakipata changamoto kuna daktari wa mifugo alikua ananielekeza dawa sahivi hayupo na nahisi madaktari wengi wa mifungo hawajui kuusiana na mbuzi ukilinganisha na ng'ombe, kuku na nguruwe.Kaka pole na hiyo changamoto, kwanza naomba nikuulize alipotoka mimba uliita vet aje kumchoma sindano ya kuzuia maambukizi? Antibiotic.
Kuhusu huo uvimbe usihofu hilo ni tezi nalo ukimwita vet atamshughulikia huwa yanawaletea homa, mpatie matibabu stahiki mara moja ili ustawi wa mwili wake uwe sawa.
Tofauti ya mbuzi wa kienyeji pure na hao cross inaleta madhara gani mkuu? Nisaidie, asante
Kaka nenda pale ubungo OIL COM Petrol station kwa madunga huwa wana ma vet pale watakusaidia ushauri mzuri please.Ki ukweli sijawahi kuita vet na huwa wakipata changamoto kuna daktari wa mifugo alikua ananielekeza dawa sahivi hayupo na nahisi madaktari wengi wa mifungo hawajui kuusiana na mbuzi ukilinganisha na ng'ombe, kuku na nguruwe.
Asante sana kakaKaka nenda pale ubungo OIL COM Petrol station kwa madunga huwa wana ma vet pale watakusaidia ushauri mzuri please.
Barikiwa kaka.Asante sana kaka
AMINA barikiwa pia kaka.Barikiwa kaka.