Ufugaji wa Mbuzi, Kanga, Bata Mzinga na Kuku

Ufugaji wa Mbuzi, Kanga, Bata Mzinga na Kuku

Mzigo wangu ukiwa machungani, mara nyingi nikimaliza shughuli zangu hua naenda site kumpa campan dogo ya kuchunga ....ikiwa unapenda kufuga hii ni moja Kati ya jambo zuri sana uta enjoy Sana
IMG_20210306_085122_986.jpeg
 
Huyo tumemfunga kifaa maalum kwaajili ya kuzuia asipande tena maana sasa anapanda wajukuu na haifai ktk uzalishaji maana hupati matokeo bora, na sasa namtoa namuuza ili niingize Dume mwingine

Huyo tumemfunga kifaa maalum kwaajili ya kuzuia asipande tena maana sasa anapanda wajukuu na haifai ktk uzalishaji maana hupati matokeo bora, na sasa namtoa namuuza ili niingize Dume mwingine
Hapo mnamnyima beberu haki zake za msingi.
 
Huyo tumemfunga kifaa maalum kwaajili ya kuzuia asipande tena maana sasa anapanda wajukuu na haifai ktk uzalishaji maana hupati matokeo bora, na sasa namtoa namuuza ili niingize Dume mwingine
Mkuu mbuzi wako unauzaje?
 
Hapo mnamnyima beberu haki zake za msingi.
Afadhali hiyo njia kuliko kuhasi kabisa, Kuhasi kabisa unanyima hata wafugaji wengine mbegu, na jana nimemtoa kwa mfugaji mwingie amekwenda karagwe, mimi hapo naona nimefanya vyema maana itawasaidia kuigawa mbegu kwa wafugaji wenzangu, na nikiwa nauza mnyama kama hivyo haraka sana naenda kununuwa jike kuziba nafasi.
 
Wakuu mmeandika mengi na faida ya mbuzi kuwa wanazaliana kwa kasi sana. Ila hamjaeleza ni namna gani mbuzi wana faida kibiashara, maybe baada ya kuzaliana mnauza kwa bei hii na hii na faida yake uliyoingiza ndani ya muda huo ni ipi?
Naombeni mchango wenu katika hili

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom