KIMARA BRIDGE
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 262
- 270
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo tumemfunga kifaa maalum kwaajili ya kuzuia asipande tena maana sasa anapanda wajukuu na haifai ktk uzalishaji maana hupati matokeo bora, na sasa namtoa namuuza ili niingize Dume mwingineMkuu, huyu beberu vipi tenaView attachment 1719244
Ukitaka kupata Mbegu iliyo bora sio cross inabidi kuwatafuta huko, na itakuwa vyema ukipata kwa wafugaji kuliko kuwafwatilia mnadaniMkuu hao Mbuzi upatikanaji wake ni Arusha Tu Kwa Masai?
Nataka kuku kama wa pichani unauzaje?Nipo Singida mkuu nakukaribisha sana
Huyo tumemfunga kifaa maalum kwaajili ya kuzuia asipande tena maana sasa anapanda wajukuu na haifai ktk uzalishaji maana hupati matokeo bora, na sasa namtoa namuuza ili niingize Dume mwingine
Hapo mnamnyima beberu haki zake za msingi.Huyo tumemfunga kifaa maalum kwaajili ya kuzuia asipande tena maana sasa anapanda wajukuu na haifai ktk uzalishaji maana hupati matokeo bora, na sasa namtoa namuuza ili niingize Dume mwingine
Mkuu mbuzi wako unauzaje?Huyo tumemfunga kifaa maalum kwaajili ya kuzuia asipande tena maana sasa anapanda wajukuu na haifai ktk uzalishaji maana hupati matokeo bora, na sasa namtoa namuuza ili niingize Dume mwingine
Afadhali hiyo njia kuliko kuhasi kabisa, Kuhasi kabisa unanyima hata wafugaji wengine mbegu, na jana nimemtoa kwa mfugaji mwingie amekwenda karagwe, mimi hapo naona nimefanya vyema maana itawasaidia kuigawa mbegu kwa wafugaji wenzangu, na nikiwa nauza mnyama kama hivyo haraka sana naenda kununuwa jike kuziba nafasi.Hapo mnamnyima beberu haki zake za msingi.
🤣 🤣 🤣 🤣Shida ya mbuzi ukorofi na viburi akiingia shambani kwa MTU jiandae na kesi ya kujibu
mkuu uko wapi na bei zikojeMbuzi wangu wanakula majani Ila mahali nilipo pumba ni nyingi Sana so nawalisha pindi wanaporudi machungani ili kuwaongezea afya
mimi hiyo mbegu ya mapacha nimetafuta sana bila mafanikio na mbuzi uko ulipo ni bei gani?Tuko pamoja mkuu ukiwa na swali niulize tutasaidiana kwa kadiri inavyowezekana
dume kama hilo ni bei ganiMkuu, huyu beberu vipi tenaView attachment 1719244