Ufugaji wa mbuzi wa nyama kibiashara unalipa?

Ufugaji wa mbuzi wa nyama kibiashara unalipa?

Yenyewe lakini yapo Yale ya zamani , ila Kuna ya Sasa hivi yameboreshwa kwa mwonekano yanaonekana sawa ila Yana utofauti kwa sababu yanazaliana kwa Wingi na Yana viini lishe vingi
Mbegu yake inapatikana wapi
 
Ili jambo litaisha , kinachosukuma ni mahitaji ya bidhaa sio utashi tazama mayai ya kienyeji na kisasa sasa hivi yai la kisasa ni shilingi mia 250 hadi 400 hapa Tanzania
 
Naendelea kusisitiza ufugaji unalipa kikubwa tujitahidi kuchagua Mbegu zilizo bora na usimamizi ulio bora ktk mifugo wetu daima tutapata mazo yaloyo bora kabisa, mabarikiwe sana ktk ufugaji.
 
Ukifuga kibiashara inalipa:mbegu nzuri inayokua kwa haraka na wenye uzito mkubwa,wawe wengi,matunzo mazuri na uwe na malisho.
 
Back
Top Bottom