Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,181
- 1,594
Mbegu yake inapatikana wapiYenyewe lakini yapo Yale ya zamani , ila Kuna ya Sasa hivi yameboreshwa kwa mwonekano yanaonekana sawa ila Yana utofauti kwa sababu yanazaliana kwa Wingi na Yana viini lishe vingi
Zinapatikana JS Dairy Farm,shamba lipo Ruvu karibu na Mlandizi,Kibaha Pwani.Mbegu yake inapatikana wapi
Hata kama muuliza awali hajauliza unavyopenda, jibu la busara au kunyamaza ni njia nzuriNdio unalupa
Mbuzi wa nyama
Mbuzi wa maziwa
Mbuzi wa mayai
Mbuzi wa mapambo