Ufugaji wa Mbwa!

Jinsi ya kupata hizo association kibongo bongo siochangamoto kweli, maana la sivyo ukinunua nje ya TZ gharama itaongezeka.
Ukitaka nora lazima uingie gharama sasa u cant be a good breeder with crosses breed unless unataka wakufuga tuu..watu wanafuata boerbell UG @2500USD kwa mbwa mkubw ailituu apate pure breed
 
Kwa ushauri tuu maana hii kitu tayari ni ajira hakikisha mbwa wako ni pure breed na wawe register kwa association ya hyo breed, hapo utapata wateja kutokea hadi ukraine mtu ana book kwa hyo site anakutumia hela wewe unasafirisha puppy
Mbwa aliyezaliwa leo anachukua umri gani mpka ashike mimba
 
Mimi nimtaalam wa mbwa nimepata na mafunzo msalum miez 6 na hapa nipo nao hata sahv hyo bznezz ni more profitable hata mfugaji wa ngombe awez kukugusa,for more info,,,tuwacliane.
Mbwa anachukua muda gani kushika mimba tangia alivyozaliwa
 
Natafuta mbwa. Kwa aliye na mbwa wadogo wawili,german shepherd wale original. Naomba uni pm
 
Mbwa anachukua muda gani kushika mimba tangia alivyozaliwa
Miezi 9 mpaka 12. Lakini kitaalamu ina shauriwa umpandishe kwa Umri wa miezi 12.
Mbwa ambao thamani yao ni kubwa kwa apa Tanzania
1. American Pit bull terrier (Bei ya mtoto anachezea USD 1500)

2. Germany Rottweiler (bei ya mtoto anachezea USD 800)

3. Germany Shepherd (bei ya mtoto anachezea USD 400)

Mbwa ambaye ni mzuri kwa apa mjini ni iyo German Shepherd kulingana na mazingira ya Joto. Lakini awa German Rottweiler wanasumbuliwa na mazingira ya Joto, wanaitaji maeneo ya baridi. La sivyo uwe na matunzo mazuri.
Pit Bull dog huyu ni mkali sana, Sema anaitaji uangalizi mkubwa sana alafu sidhani kama kasajiliwa Tanzania. Maana nchi nyingi apa duniani aruhusiwi kutokana na matatizo ya kuvamia watu
 
Wengine wanashika mimba si mpka miaka miwili
 
Mm nataka mbegu ta pitbul
 
Samahani mtoa mada (wewe ni MTU wa Iringa)
Maana ata iyo profile picha yangu hapo nimepiga Iringa...!
 
K inamaanisha elfu hivyo 300k tzs ni 300,000 tzs
Kuhusu tatizo la mbwa wako tusubiri wataalamu tu
Wa kwangu nilio nao sasa ni wa kubweka tu ila ukimtisha na jiwe na yeye mbio kutafuta penye usalama
We acha tu bro yaan mbwa wa siku hizi wamekaa ki-UKUTA UKUTA tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…