Ufugaji wa Mbwa!

Ufugaji wa Mbwa!

Wakuu natafuta pia GS breed mwenye nayo ani PM!Pia angalizo ni lazima niwaone wazaz wa huyo puppy nlishapigwaga mchanga,nkanunua kumbe cha uswazi kilikua kimeshiba tuu.
Unaponunua hawa wadudu unatakiwa uwe mzoefu, wabongo sio waaminifu, wakati najifunza ufugaji nilipigwa mara 3.
Kwasasa nami ni mwalimu mzuri
 
Mkuu kikipigwa nyama na maziwa kinafanana na GSherpered!ngoja awe mkubwa anayooka hata ale vipi hamna kitu laki 3 zinaenda hivi hivi
Chini ya laki 700,000 umepigwa
 
Na mimi nimeanza kufuga waungwana. Sijui hii ni breed gani lakini nahisi ni cross breed ya GS maana mama yao pia ni GS.
20230216_111915.jpg


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo na wewe usiyoijua,itaitwaje sasa! Af masikio yao mbona hayafanani ya GS?!
 
Wakuu, naombeni moja mbili za mbwa - local breed, naona hao ndio ninawaweza


Yesu ni Mwokozi
 
Wakuu, naombeni moja mbili za mbwa - local breed, naona hao ndio ninawaweza


Yesu ni Mwokozi
Ukipata local waliochanganya kidogo nafikiri inapendeza zaidi kama hao wangu nilio post hapo. Kwanza gharama ni nafuu kununua na pia vyakula hawasumbui.

Mbwa ni matunzo tu! Unaweza kufuga local kisasa watu wakashangaa walivyo bora. Hao wangu nawapiga Menu wakifika 6 months naamini watakuwa tofauti kabisa.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hivi pure breed kama ya Germany Shepherd, Rottweiler n etc kinyumbani hapa TZ wanaweza patikana wapi?
Mwanza kuna mkuda furani,kama hana,atakusaidia kupata. Bulldog au GS. Kama uko serious pita inbox nikulink
 
Back
Top Bottom