Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mkuu ulifanikiwa?Mkuu una connection ya zambia? Naenda huko ndani ya wiki 2,naweza nikarudi nao kwani mi pia mpenzi wa kufuga mbwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulifanikiwa?Mkuu una connection ya zambia? Naenda huko ndani ya wiki 2,naweza nikarudi nao kwani mi pia mpenzi wa kufuga mbwa.
Unafuga aina gani?Baada ya kukusanya mawazo ya kutosha
Nimeanza rasmi ufugaji wiki hii
Ulifanikiwa?Wakuu kwa yeyote mwenye Pure Germany Sherpherd puppies ani PM!
Unaponunua hawa wadudu unatakiwa uwe mzoefu, wabongo sio waaminifu, wakati najifunza ufugaji nilipigwa mara 3.Wakuu natafuta pia GS breed mwenye nayo ani PM!Pia angalizo ni lazima niwaone wazaz wa huyo puppy nlishapigwaga mchanga,nkanunua kumbe cha uswazi kilikua kimeshiba tuu.
Chini ya laki 700,000 umepigwaMkuu kikipigwa nyama na maziwa kinafanana na GSherpered!ngoja awe mkubwa anayooka hata ale vipi hamna kitu laki 3 zinaenda hivi hivi
Huyu alijitakia mwenyeweGS uliuziwa kwa laki 3..... no wonder
Hawa wabongo HawaNa mimi nimeanza kufuga waungwana. Sijui hii ni breed gani lakini nahisi ni cross breed ya GS maana mama yao pia ni GS. View attachment 2519103
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Possibly maana nimemuona mama yao tu.Hawa wabongo Hawa
Niliwaona sehemu nikawapenda, mama yao ni GS.Hiyo na wewe usiyoijua,itaitwaje sasa! Af masikio yao mbona hayafanani ya GS?!
Pure ni very expensive hadi 1mHivi pure breed kama ya Germany Shepherd, Rottweiler n etc kinyumbani hapa TZ wanaweza patikana wapi?
Ukipata local waliochanganya kidogo nafikiri inapendeza zaidi kama hao wangu nilio post hapo. Kwanza gharama ni nafuu kununua na pia vyakula hawasumbui.Wakuu, naombeni moja mbili za mbwa - local breed, naona hao ndio ninawaweza
Yesu ni Mwokozi
Mwanza kuna mkuda furani,kama hana,atakusaidia kupata. Bulldog au GS. Kama uko serious pita inbox nikulinkHivi pure breed kama ya Germany Shepherd, Rottweiler n etc kinyumbani hapa TZ wanaweza patikana wapi?