Miezi 9 mpaka 12. Lakini kitaalamu ina shauriwa umpandishe kwa Umri wa miezi 12.
Mbwa ambao thamani yao ni kubwa kwa apa Tanzania
1. American Pit bull terrier (Bei ya mtoto anachezea USD 1500)
2. Germany Rottweiler (bei ya mtoto anachezea USD 800)
3. Germany Shepherd (bei ya mtoto anachezea USD 400)
Mbwa ambaye ni mzuri kwa apa mjini ni iyo German Shepherd kulingana na mazingira ya Joto. Lakini awa German Rottweiler wanasumbuliwa na mazingira ya Joto, wanaitaji maeneo ya baridi. La sivyo uwe na matunzo mazuri.
Pit Bull dog huyu ni mkali sana, Sema anaitaji uangalizi mkubwa sana alafu sidhani kama kasajiliwa Tanzania. Maana nchi nyingi apa duniani aruhusiwi kutokana na matatizo ya kuvamia watu