Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Mkuu una connection ya zambia? Naenda huko ndani ya wiki 2,naweza nikarudi nao kwani mi pia mpenzi wa kufuga mbwa.
German shepherdUnafuga mbegu gani mkuu
Mkuu hilo nimeliona ila amini ukitafuta kuna watu wana vitu pure kabisa ila bei ndo za motoZambia na Zimbabwe wana breed nzuri zaidi. Hata Kenya poa zipo nzuri. Nyingi za hapa bongo ni cross breed.
Awo Germany Shepherd dog wanapendwa sana kwa sababu ya muonekano wakeGerman shepherd
He he he he, inabidi kuwa makini sana mkuu.Wakuu natafuta pia GS breed mwenye nayo ani PM!Pia angalizo ni lazima niwaone wazaz wa huyo puppy nlishapigwaga mchanga,nkanunua kumbe cha uswazi kilikua kimeshiba tuu.
Hawapendwi kwa muonekani. Wanapendwa kwa intelijensia yao. Trainable.... and protection dogAwo Germany Shepherd dog wanapendwa sana kwa sababu ya muonekano wake
Mkuu kikipigwa nyama na maziwa kinafanana na GSherpered!ngoja awe mkubwa anayooka hata ale vipi hamna kitu laki 3 zinaenda hivi hivi
Dyu!!!!hawa mbwa mkiwa mnanunua muangalie na uwezo wa kuwahudumia, kuna jamaa alikuwa na mbwa wawili sikumbuki kama ni pitbull au rottweiler, mfanyakazi wake akasafiri mtu wa kuwahudumia akabaki yeye mwenyewe, usiku muda wa kuwapa chakula kachelewa anarudi mbwa wakawa wametoka wanamrukia na yeye amelewa katika kuwaondoa akampiga kofi mmoja, shughuli baada ya hapo ni kuwa jamaa alilazwa icu muhimbili karibia wiki nzima.
Eeeh swafi kabisa hapo akanyagi mtu.Napenda Mbwa ukiwa na GS Watatu unalala usiku mzuri sana
Hujakosea unaweza ukacheki kwa Dr sinare.. au pia kama ni mkazi wa ilala cheki pale Amana kwa Duka la mifugo.. wanakua na breed za mbwa za aina nyingi na ni pure breedNitacheki nao, si pale kwa Dr Sinare (am not sure with the name kama lipo sahihi) ila am sure ndio hapo unapo pazungumzia.
Hongera mkuuuBaada ya kukusanya mawazo ya kutosha
Nimeanza rasmi ufugaji wiki hii
SureZambia na Zimbabwe wana breed nzuri zaidi. Hata Kenya poa zipo nzuri. Nyingi za hapa bongo ni cross breed.