Ufugaji wa Mbwa!

Ufugaji wa Mbwa!

Mkuu kikipigwa nyama na maziwa kinafanana na GSherpered!ngoja awe mkubwa anayooka hata ale vipi hamna kitu laki 3 zinaenda hivi hivi
 
hawa mbwa mkiwa mnanunua muangalie na uwezo wa kuwahudumia, kuna jamaa alikuwa na mbwa wawili sikumbuki kama ni pitbull au rottweiler, mfanyakazi wake akasafiri mtu wa kuwahudumia akabaki yeye mwenyewe, usiku muda wa kuwapa chakula kachelewa anarudi mbwa wakawa wametoka wanamrukia na yeye amelewa katika kuwaondoa akampiga kofi mmoja, shughuli baada ya hapo ni kuwa jamaa alilazwa icu muhimbili karibia wiki nzima.
 
Dyu!!!!
 
Napenda Mbwa ukiwa na GS Watatu unalala usiku mzuri sana
 
images
 
ungeweka picha mkuu sisi wengine hayo majina ya kitaalam kwetu chenga!
 
Hawa viumbe noma sana,ni gharama lakini ukipata mbegu ya uhakika sawa bei ipo juu,lakini ukiwatunza vizuri kwa ajiri ya biashara wanalipa sana,hasa kama wakipatiwa mafunzo.Ebu jaribuni kwenye makampuni ya ulinzi,mimi wa kwangu kinachonikela,watu wa nyumbani amewazoea,ila chakula analishwa na mtu mmoja tu,hayupo,mbwa hali,kama mgeni hujaingia na kitu,hutoki na chochote,labda usindikizwe na ubebewe ukabidhiwe ukiwa nje.
 
Back
Top Bottom