Ufugaji wa Mbwa!

Ufugaji wa Mbwa!

Mm nataka hao pitbull terrier naomba uniuzie mmoja nashida Kwl yaan
Pit Bull dog na Germany Rottweiler dog
Awa mbwa kuwapata Pure Breed ni ishu sana. Awa mbwa ni wasumbufu sana, wana ukali wa kupitiliza

Kama German Rottweiler
Apendi wageni akiiona wageni ana piga kerere sana wana uwezo wa kubweka kwa mda mrefu sana mpaka ikawa kero kwa wageni. Ana uwezo mkubwa sana katika kubweka kuliko mbwa wote. Na apendi Jamii nyingine ya mbwa kuchanganywa nao, akikaa na mbwa mwingine Lazima atamuua mbwa ambae sio aina ya Germany Rottweiler

American Pit Bull dog [emoji190]
Huyu mbwa anaitaji usimamizi wa makini kwa sababu ana uwezo mdogo wa kushika vitu. Ni mbwa ambaye anatumika katika kupiganisha na mbwa wengineo. Na asipopata mafunzo Anaweza akawa sio mbwa mkali akawa kama mbwa wa ndani (Petty dog)

Germany Shepherd dog
Ni mbwa ambaye ana uwezo mkubwa katika ufundishwaji na amesajiriwa na nchi nyingi kwa kazi ya ulinzi. Na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa kibari huyu mbwa atumike kwa shughuli za ulinzi. Mbwa huyu anafundishika na anaelewa haraka sana. Na ni mzuri kwa kutembea nae mjini kwa sababu anatii sheria.


ONYO
Mbwa wa aina ya Germany Rottweiler ni hatari sana, usije ukajaribu kumpa Marijuana (Bangi) ni hatari sana huyu mbwa, kuuua mtu ni dakika chache sana. Kwa sababu ya powerful aliyonayo
 
Mkuu unaonekana unaelewa mambo ya mbwa, hebu nambie unaelewa kuhusu aina ya mbwa anyeitwa Dobermann ?je hii mbegu inapatikana hapa Tz?

Asante
 
K inamaanisha elfu hivyo 300k tzs ni 300,000 tzs
Kuhusu tatizo la mbwa wako tusubiri wataalamu tu
Wa kwangu nilio nao sasa ni wa kubweka tu ila ukimtisha na jiwe na yeye mbio kutafuta penye usalama
Hahahaaa asante mkuu
 
Mimi nimtaalam wa mbwa nimepata na mafunzo msalum miez 6 na hapa nipo nao hata sahv hyo bznezz ni more profitable hata mfugaji wa ngombe awez kukugusa,for more info,,,tuwacliane.
Unafuga aina gani mkuu, mim nafuga german shepherd
 
Wale ni kubuku kwa mfugaji kama utampata,
 
Back
Top Bottom