Ufugaji wa ndege aina ya bundi una faida sana

Ufugaji wa ndege aina ya bundi una faida sana

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1622537451813.png

Bundi ni ndege kama ndege wengine, wengi hawajafahamu faida zinazopatikana katika ufugaji wa ndege hawa.

Soko la bundi ni kubwa kuanzia kwenye mayai, ndege wenyewe. Soko kubwa la ndege hawa liko Afrika.
 
Alliyah alikuwa naye mmoja. Mlioko marekani tutaftieni soko tuache kufuga kuku tufuge hao bhundi.
 
View attachment 1804547
Bundi ni ndege kama ndege wengine, wengi hawajafahamu faida zinazopatikana katika ufugaji wa ndege hawa.

Soko la bundi ni kubwa kuanzia kwenye mayai, ndege wenyewe. Soko kubwa la ndege hawa liko Afrika.
Mkuu umefuga bundi tufanye biashara, kwamaana nawahitaji kwa ajili ya majaribio ya kisayansi
 
Back
Top Bottom