Ufugaji wa ndege raha sana

Nilikuwa Dodoma
WWanasemaUnapotaka Kumkamata Kanga, Nyumbani Kwako Usimkimbize

SUBIRI Waingie Bandani
UKiimkimbiza Tu Anakimbia Mbali Harudi
kanga analala bandani?

kanga akikua tu huyo si wako..anallala mtini.
 
napenda sana njiwa na goose(,bata bukuni)
 
napenda sana njiwa na goose(,bata bukuni)

Nina Banda hapa ndo Napita ramli nifuge Kuku au bata Bukini

Ila naambiwa bata bukini wanataka kapori Ili watage na kwangu hamna pori
 
Mkuu ukifuga kitu kwanza kipende so Ata kelele zake hazitokukera kabisa kanga wakikaribia kutaga wanapiga kelele mpk usiku lakini binafsi Nina enjoy sana kuwaskia

Hao Hapana bora nirudi kwenye Kuku tu

Bata Bukini sina uhakika na soko lake ila nitafuga tu naona siyo wasumbufu sana

Kanga nitakula kwenu wafugaji wenzangu
 
Hao Hapana bora nirudi kwenye Kuku tu

Bata Bukini sina uhakika na soko lake ila nitafuga tu naona siyo wasumbufu sana

Kanga nitakula kwenu wafugaji wenzangu
Karibu sana mkuu
 
Hao Hapana bora nirudi kwenye Kuku tu

Bata Bukini sina uhakika na soko lake ila nitafuga tu naona siyo wasumbufu sana

Kanga nitakula kwenu wafugaji wenzangu
Goose napenda tu kuwatazama wananivutia.
 
Vifaranga vyangu vya Bata vinakufa unafanyaje wasife mkuu.
Rahisi sana mkuu vitenge na mama yao alafu viwekee moto na maji weka glucose Ile ndege inakua na rangi ya blue kisha weka kwenye chombo ambacho vifaranga hawawezi kutumbukia maana hawatakiwi kugusa maji na chakula nunua broiler Stata kisha baada ya week2 leta mrejesho hutoamini watakavyobadilika ndani ya week mbili
 
Glucose ile ndege inakuwa na rangi ya blue hapo sijakupa sawia. Ufafanuzi ndugu mengine yako poa
 
Vifaranga vyangu vya Bata vinakufa unafanyaje wasife mkuu.
Wape Antibiotics na grocose,pia hakikisha hawalowani na maji Kwa muda wa angalau miezi miwili ,pia wanahitaji joto zile week mbili za kwanza unaweza kuwawekea chungu Cha moto,pia wape starta ya broiler, hakikisha Banda lao linakua na wavu chini Ili wakichezea maji ya kunywa yanadondokea chini
 
Vipi kuhusu kibali cha kufugia maana bongo? mtihani mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…