Ufugaji wa ndege raha sana

Ufugaji wa ndege raha sana

Yeah Uzi umekaa Kiungwana Sana baby zu pitia huku mama
Naam shukran, nilipo nimejenga kibanda cha kuku shida kimeisha lkn kabla hata kuwanunua hao kuku mchwa wanamaliza mbao sijui niganyeje japo nafuga vikuku vya mboga tu
 
Shukr
Usijali bro, yaani hao funza ukiwapa kuku ni sherehe na wananenepa balaa.
Shukran umenitag lkn banda langu linaliwa na mchwa😂😂😂 sijui nafanyaje, binafsi sipendi ufugaji lkn wanangu wadogo wameng'ang'ana wanataka kuku sasa banda tumetengeneza mchwa ndo mtihan
 
Naam shukran, nilipo nimejenga kibanda cha kuku shida kimeisha lkn kabla hata kuwanunua hao kuku mchwa wanamaliza mbao sijui niganyeje japo nafuga vikuku vya mboga tu
Mashaallah,,watoto wanapenda kucheza na ndege ,,ufugaji nahisi una Nuru za Allah ndani yake,,,ukiwa mfugaji moyo huwa laini,,na ukiwa mfanyabiashara moyo huegemea kwenye ubahili..au kaka Kazakh destroyer na Akhy mnasemaje kwenye hili.
 
Shukr

Shukran umenitag lkn banda langu linaliwa na mchwa😂😂😂 sijui nafanyaje, binafsi sipendi ufugaji lkn wanangu wadogo wameng'ang'ana wanataka kuku sasa banda tumetengeneza mchwa ndo mtihan
Mh tunatofautiana kumbe hupendi? banda linaliwa na mchwa sababu mmejengea miti pendwa kwao na hapo wanapatikana sasa upakae oil chafu kwenye hizo mbao vinginevyo watalishusha lote.

Ehee umeweka kuku aina gani hapo kwaajili ya wanangu hao.
 
natamani sana kujua kuhusu soko lake, kuna mdau aliwahi kuniambia kwamba yai moja anauza kwa sh1,000 nilimpuuza tu.

nataka kuujua huu ukweli kutoka kwa wazoefu
Jaribu kumuuzia kwa 800/= ili yeye akauze buku
 
Mashaallah,,watoto wanapenda kucheza na ndege ,,ufugaji nahisi una Nuru za Allah ndani yake,,,ukiwa mfugaji moyo huwa laini,,na ukiwa mfanyabiashara moyo huegemea kwenye ubahili..au kaka Kazakh destroyer na Akhy mnasemaje kwenye hili.
kweli.
ufugaji ni tofauti na biashara nyngne kwa sababu unakuwa na uhakika wa soko tofauti na kukaa dukani kusubiri mteja ambaye hujuwi kama kweli anakuja au lah
 
Sijajua nilikuwa nahitaji mengi niwawekee kuku Sasa sijajua nimepigwa au vipi
kipindi flani nilikuwa nayanunua kwa sh 250-300/= pale katoro kwa ajili ya kula tu

sijapata kujua bei yake halisi
 
kweli.
ufugaji ni tofauti na biashara nyngne kwa sababu unakuwa na uhakika wa soko tofauti na kukaa dukani kusubiri mteja ambaye hujuwi kama kweli anakuja au lah
Biashara ina stress Sana usipokuwa na iman unaweza kukesha kwa waganga
 
ogopa kusubili mtu ambaye hukupanga nae kwamba mkutane[emoji3]

kila siku lazima ukakague nyota kama iko salama[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom