Ufugaji wa ndege raha sana

Ufugaji wa ndege raha sana

Kwanza hawakamatiki kwa kukimbizwa kizembe (wana mbio balaa) na uwezo wao wa kupaa ni mkubwa sana, kwahiyo hata wakienda kuzurura ni ngumu sana kukamatwa na raia maana kwa mbio hawapati na wakiamua wanaruka wanamuachia manyoya.
[emoji120]

vipi kwa upande wa vicheche na mwewe sometimes?
 
Mkuu Rukube hivi Bata anaweza kumshinda kanga kwa ulaji,,,Bata mlafi Sana aisee halafu usaf kwake sifuri
Ebwana Bata sio wachafu kama watu wengi wanavyo fikiri,inatakiwa uwawekee bwawa la kuogea na uwe unabadirisha maji mara Kwa mara wanakua wasafi , kwenye upande wa kula Bata anakula sana Kwa sababu kanga ukimpa chakula Cha dukani bado ataitaji kwenda kujitafutia ila Bata akiona uhakika wa chakula upo haendi popote yy nikupiga misosi tu
 
Hapo sawa ,,ufugaji una raha ila uwe na vyanzo vya ziada ,,,

Nje ya mada mkuu nawezaje kupunguza gharama ili nisifilisike ,,nilizoea kuku wangu wa kienyeji nikaongeza na Saso aseee Hawa viumbe wanakula si mchezo,,,,

Ila sikomi wikii hii nimeamua kuwawekea kuku wa kienyeji mayai ya kanga ....nawezaje kupunguza gharama kwenye kulisha Hawa viumbe ninao 150 Saso plus wa kienyeji
 
Duh! Mtihani mkuu,Kwa upande wangu mm ni mpishi kwaiyo ninapo fanyia kazi huwa nachukua mabaki ya misosi,pia nanunua pumba Kuongezea,Kwa sababu naishi nnje ya mji huwa nawafungulia jioni wanajitaftia na kula majani ,ila ninapokua na vifaranga ndio hununua starta Nayo naichanganya na pumba kidogo
 
Ahsante mkuu
 
Hapo sawa ,,ufugaji una raha ila uwe na vyanzo vya ziada ,,,

Nje ya mada mkuu nawezaje kupunguza gharama ili nisifilisike ,,nilizoea kuku wangu wa kienyeji nikaongeza na Saso aseee Hawa viumbe wanakula si mchezo,,,,

Ila sikomi wikii hii nimeamua kuwawekea kuku wa kienyeji mayai ya kanga ....nawezaje kupunguza gharama kwenye kulisha Hawa viumbe ninao 150 Saso plus wa kienyeji
mashaallah mimi napenda sana kufuga pia hasa ndege ile hydroponics fodder siku hizi imefeli? na ile ya kuotesha kwenye maji azolla lakini mwisho kuwaandalia funza kwa kutengeneza mwenyewe bila kusahau kuwazalishia mende wale wakubwa walioshiba hasa.
 
Mashaallah mimi napenda sana kufuga pia hasa ndege ile hydroponics fodder siku hizi imefeli? na ile ya kuotesha kwenye maji azolla lakini mwisho kuwaandalia funza kwa kutengeneza mwenyewe bila kusahau kuwazalishia mende wale wakubwa walioshiba hasa.
Nurain
 
Ebwana Bata sio wachafu kama watu wengi wanavyo fikiri,inatakiwa uwawekee bwawa la kuogea na uwe unabadirisha maji mara Kwa mara wanakua wasafi , kwenye upande wa kula Bata anakula sana Kwa sababu kanga ukimpa chakula Cha dukani bado ataitaji kwenda kujitafutia ila Bata akiona uhakika wa chakula upo haendi popote yy nikupiga misosi tu
Upo sahihi bata akiwa na uhakika wa chakula hatoki
 
mashaallah mimi napenda sana kufuga pia hasa ndege ile hydroponics fodder siku hizi imefeli? na ile ya kuotesha kwenye maji azolla lakini mwisho kuwaandalia funza kwa kutengeneza mwenyewe bila kusahau kuwazalishia mende wale wakubwa walioshiba hasa.
Kazakh destroyer mkuu nimekupata vema ila huo Mchakato wa kuwaandalia funzo na jinsi ya kuwapata mende ndio siujui...niwekee nyama kidogo
 
Screenshot_20220216-070132_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom