Ufugaji wa Nge (scorpion), kitu pekee kinachoweza kukufanya kuwa bilionea ndani ya muda mfupi

Ufugaji wa Nge (scorpion), kitu pekee kinachoweza kukufanya kuwa bilionea ndani ya muda mfupi

Kuna aina ngapi za hao nge je Kuna aina ambayo sumu yake ni au ni aina yeyote?
 
Japo wengi humu wanadhani ni utani ila hii ni kweli ndio inayoongoza kwenye top 10 most expensive liquids in the world, namba mbili ni sumu ya nyoka cobra inafuatiwa na insulin etc etc ya mwisho ni damu ya binadamu. so msidharau kwa sababu hamjui hii kitu ni kweli na kama unahicho kipaji cha ufugaji basi jua wewe ni bilionea.
 
Yaani huu uzi ni zaidi ya comedy ya Mr. Murphy.

Ila hii project inawezekana kabisa kama humu JF tukiunganisha nguvu kila mtu akaleta ng'e 10 tunaweza zidisha hizo gunia 100.

Tatizo, maliasili na profesa magembhe watalala kwenye ghala zetu za hao ng'e maana hawatakawia kusema ni nyara za taifa.

Ila, comments zinachekesha sana aisee.
 
Tufugeni mende jamani, soko lipo na ni pesa ndefu.
 
Aisee ni kweli bwana.. nilijua utani..kuna mchina hapa alinidokeza kuhusu hilo dili
 
This thing is so HarD,B'se nothin pretty Comes Easy..
It might take a lot of years to make that single Gallon of VEnom
Na sijui utakua umegharamika kiasi Gani, Maana wanakwambia ukitaka hela zaiDi, toa Hela zaiDi
 
Dah, sijui nisemeje, mtoa mada umetoka jela juzi au upo kwenye skendo ya makenikia ya magufuli??
Nge gunia 100? Mi tangu nizaliwe sijawahi ona nge zaid ya 10
 
Washauri ACACIA wafanye ij project watulipe pesa zetu wasepe
 
Back
Top Bottom