Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Naomba kusaidiwa mwongozo nataka kufuga nguruwe. Nipo dar mradi nitafanyia boko nimebakisha laki tano tu, banda nimeshajenga. Nimesoma threads za nyuma sijapata mwongozo. Asanteni sana.
 
Dah hauko serious, ila fuga tu, anza na hamsini na sehemu nzuri ni Goba. Asante
 
Mkuu Ramea watoto wa nguruwe wanapozaliwa wanakuwa na upungufu wa madini ya chuma, pia mwili wake unakuwa na uwezo mdogo sana wa kuzalisha damu ya kutosha, hivyo inashauriwa siku ya tatu baada ya kuzaliwa watoto wa nguruwe wachomwe sindano ya dawa yenye madini ya chuma, pia unatakiwa uwakinge na baridi maana kipindi hicho ngozi yao inakuwa haijawa na mafuta na manyoya ya kutosha.
 
Sorry unamaanisha mabaki ya chakula yapikwe kwanza ndo wapewe? Sijakuelewa
 
rosita karibu ujipatie drinker kwaajili ya ufugaji wa nguruwe wako ni imara na za kisasa, tunapatikana Dar. Namba ya simu ni 0625 504
952
 
Nataka huo mfumo kwa kuku nitapata wapi mabanda ya kufugia kuku ambayo kuku anaishi bila kinyesi wala kumwaga chakula na pia mayai hayavunjiki wala kuliwa na kuku?
 
Nataka huo mfumo kwa kuku nitapata wapi mabanda ya kufugia kuku ambayo kuku anaishi bila kinyesi wala kumwaga chakula na pia mayai hayavunjiki wala kuliwa na kuku?
Sisi tunahusika na drinker za nguruwe tu mkuu
 
Wakuu nimejengaa banda tayari nataka nianze na vitoto mwenye navyo anipe bei kwa kila kimoja mi nipo dar
 
Bado natafuta vitoto Vya nguruwe ndugu zangu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Umelipa ada ya tangazo kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…