Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ganiWafugaji nina pumba za mchele laini za nguruwe gunia 100 nauza
Bi Fatma anafuga??Mimi Hassan nasubiri nnNi biashara yenye faida sana .Nadhani kwa taarifa za hiivi karibuni hata Bi Fatma Kimaryo (DC wa Igunga ) anafuga
Lovely mother? Kwa kiswahili tutaitaje😅😅Mungu ni mwema 4 months in the game. Nimeanza na nguruwe Saba, vitoto sita pamoja na this lovely mother ambaye mda si mrefu ataleta matunda. Every thing is fine I think.
Changamoto pekee nimefugia shambani, nalazimika kuajiri kijana lakini pia gharama za kusafirisha chakula zinakuwa kubwa
Mapambano yanaendelea
Muulize Prof. SigaraLovely mother? Kwa kiswahili tutaitaje😅😅
Bila shaka ulishaanza mradi wako. Please tunaomba updates tuweze kujifunzakuna watu nawafahamu toka niko mdogo wanafuga mpaka leo hii hapa mtaani kwangu na wana mafanikio mazuri tukutokana na biashara hii, sijawai kusikia changamoto hiyo kutoka kwao kikubwa ni kutokuicha ovyo mifugo ina tangatanga, zaidi ya hapo mradi utafanyika pembezoni mwa mji kidogo. hivyo nikukuhakikishie lindi wakazi wa lindi hawana shida na mfugaji wa nguruwe kama ana wadhibiti pahala.
Uko wapi bado unazalisha pumbaWafugaji nina pumba za mchele laini za nguruwe gunia 100 nauza
Bado unafuga? Hapo MtwaraNashukuru nimesha wauza ndugu
Huu uzi nimechelewa kidogo kuupata. Ila naamini utanisaizdia.View attachment 1468519
- Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000
- Banda la mabanzi=1,000,000
- Chakula = 1,000,000
- Dawa= 200000
After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100,
mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe
mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000.
After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700. Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike).
Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu
Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza
watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500.
1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka
Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil.
Welcome to the club
Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda sokoine ukaonane na wataalamu.
Kila mwaka nalima Mahindi, alizeti, maboga ekari 30 kwa ajili ya chakula cha nguruwe tu.
Nakupenda saana mpwa..
==========
USHUHUDA
===
Uzi mzuri sanaHuu uzi nimechelewa kidogo kuupata. Ila naamini utanisaizdia.