Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

0654 486 097 n mm naomb uniunganishe kweny hlo kundi n nna malengo ya kuinvest kweny hiyo ki2
 
Habari. Naomba na mimi nijiunge nipate ushauri na uzoefu wa ufugaji wa nguruwe 0785 006496.
 
Hivi huyu si Agano la Kale si kapigwa STOP?
Ila ni utashi wa mtu binafsi na iman zake
 
Habari za humu ndani?? Naomba msaada nahitaji watoto wa nguruwe Mwanza idadi 30 naomba namba sehemu nayoweza kuwanunua wazazi wangu walifuga nguruwe kwa muda mrefu sasa nataka niwanunulie waanze tena maana waliuza zote miaka mingi imepita.. Nataka niwape kitu cha kifanya maana wamestaafu.. Naomba msaada wa pakuzipata Mwanza na bei zake, natanguliza shukrani.




 
Wakuu!!! Kwema !!!!!!! hivi kwa nini nguruwe wadogo kuna wafugaji huwa wanawakata mikia yao pia wanangoa baadhi ya meno yao ni kwanini kufanya hivyo?
Wataalamu naombeni maelezo.
 
Naomba uniadi 0658657189
 
nna mpango wa kuanza kufuga hii kiku ila naanza na kununua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi
Du yaani kati ya watu waliowaza mbali kabla ya kufuga ni wewe.Ni kweli kabisa changamoto kubwa ya ufugaji nguruwe ni kwenye chakula,kinauzwa bei mbaya na hasa pumba za mahindi ambazo kwetu sisi ndiyo lishe kuu kwa nguruwe.
Kwa Maana hiyo ukiweza kupata hizo Mashine,utafuga kirahisi sana,na mafanikio utayaona haraka sana.

Ukiwa interested kuna kundi la whatsup la wafuga nguruwe na Mimi nimo humo,unaweza jiunga ili kupata morali ya kuendelea na ndoto yako
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…