orryhellen
Member
- May 23, 2015
- 16
- 1
Wameacha kula mbwa na punda kwani?Siku hizi soko sio shida, wachina wanakula hii kitu kupita maelezo.
0716985306Du yaani kati ya watu waliowaza mbali kabla ya kufuga ni wewe.Ni kweli kabisa changamoto kubwa ya ufugaji nguruwe ni kwenye chakula,kinauzwa bei mbaya na hasa pumba za mahindi ambazo kwetu sisi ndiyo lishe kuu kwa nguruwe.
Kwa Maana hiyo ukiweza kupata hizo Mashine,utafuga kirahisi sana,na mafanikio utayaona haraka sana.
Ukiwa interested kuna kundi la whatsup la wafuga nguruwe na Mimi nimo humo,unaweza jiunga ili kupata morali ya kuendelea na ndoto yako