Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji


Astaghfirullah
 
hao nguruwe wako wana umri gani tokea wakiwa wadogo mpaka walipofikia kutaka kuuzwa
 
hallo hamjambo, na kheri ya mwaka mpya.

changamoto za ajira zimekua ngumu sana, niko lindi/mjini nahitaji mtu/rafiki/mjasiliamali aliyetayari kuwekeza na kushrikiana na mimi katika biashara hii ya ufugaji wa nguruwe hapa lindi, nina eneo la kutosha kujenga mabanda na muda wa kutosha kuhudumia wanyama, ila tatizo ni mtaji wa kutosha hivyo aliye tayari tutasaidiana kujenga mabanda kununua wanyama na kuwalisha, mimi nitakaa uko uko shamba kuwahudumia kama wewe uko unafanya shughuli zingine. tuwasiliane kwa taarifa zaidi.
 
hao nguruwe wako wana umri gani tokea wakiwa wadogo mpaka walipofikia kutaka kuuzwa
Watakua na miezi mitano (5) hadi miezi sita (6),wakifika mwezi wa tatu mwaka huu,ndipo nitakapo wauza Mkuu.
 
Peleka mnadani Moshi mjini.
Nguruwe 13 ku peleka DSM ni kutafuta hasara kwa UDI na uvumba. Labda mjikusanye wafugaji wengi, mkodi gari moja kupunguza ukali wa gharama
Hivi Moshi mjini kuna mnada wa nguruwe?
 
Kilimanjaro hawanunui kwa Kg mkuu hilo ndo tatizo linalotuangusha wafugaji wengi wa mkoa huu....Lakin unaweza kuwasogeza mpaka arusha wananunua 5000-5500 kwa Kg 1
 
Asilimia kubwa ya lindi imani hairuhusu kula nguruwe ....hii haita kuwa changamoto na majirani wanaokuzunguka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…