Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji



ha ha ha umenichekesha,,eti unawaona kama simba,,mimi naangalia mpk end of this year nitacheki kama niendelee au niache manake garama za kulisha ni kubwa mno,,na sanyingine wadumae hapo ndio utajua theory ni tofauti na practical kabisa
 
Thanks
 
Hizo huwa ni hadithi tu, hata pure friesian breed mwenyewe hatoi hizo kwa siku, hiyo pure breed ya friesian utaitoa wapi katika ukanda huu wa kitropical?
Aisee nina exprince ya zaidi ya miaka 15 kwenye ufugaji wa ng'ombe wa maziwa wanalipa balaa. Friesian anapata sana magonjwa tofauti na asian but all of them ukilisha vizuri unapata lita20 per day and kikawaida maziwa yanapungua kulingana na muda wake wakupata mimba unavyokaribia..
 
Pole sana, ndugu yangu katika ufugaji kuna changamoto sana, kama unataka Kufuga, fuga ukiwa karibu na mifugo yako na inapendeza sana ukiwa na mke au family [emoji128]
 
Hehehe..niko Mwanza natafuta soko la lita 40 za maziwa embu naomba unisaidie maana sasa naelekea kujuta.
Mimi nipo apa Dar es salaam. Mwanza nimekaa kaaa kidogo nilisoma apo SAUT UNIVERSITY. Lakini maziwa Jaribu sehemu kama pale kirumba garage, apo mjini mitaa ya makoroboi na apo CBE COLLEGE Wanachukua sana order za maziwa na Jaribu kwenye mahotel na mgahawa wanachukua sana maziwa. Au ikiwezekana Jaribu kujenga urafiki na manesi wa apo Hospital ya butimba, sehemu zote zinazotoa huduma ya Clinic kwa watoto ndio sehemu nzuri ya kupata koneksheni ya waitaji wa maziwa. Maana watoto wazaliwao wanaitaji sana maziwa kwa ajili ya ukuaji wao. Kwa iyo awo ndio wateja wako

Kwa apa Dar es salaam maziwa ni ishu sana kuyapata ambayo ni fresh kutoka kwa ng'ombe. Watu wanatafuta maziwa kutoka kibaha, kiluvya na mlandizi
Uku maziwa ni Tshs 2,000@ 1Litre. Na bado ni ishu kuyapata
 
Wdau nauza ngurue wakubwa na size ya kati wako ishirini niko himo kilimanjaro pia kama una number ya mtu anaye nunua kwa mkupuo naombeni
 
Guys huu ugonjwa wa Nguruwe unaua banda zima kwa siku moja nini kinga? Ukishatokea inabidi ufanyeje kurudi kwenye game? Wale Vitoto vinavyobaki vinafaa kuendelea kufugwa au vinakuwa tayari navyo vinamaambukizi? ?
Aisee tumechelewa sana kuona swali lako, ila magonjwa yanayoweza kuuwa banda zima yapo na sio moja tu, labda ungesema uliona dalili gani kwa hao nguruwe kabla ya kufa. ila kwa sababu saizi kuna mripuko wa African Swine Fever nahisi hii ndio iliyoua wanyama wako
 
Makadrio ya gharama za kununua ng'ombe kumtunza hadi aanze kutoa maziwa ni kiasi gani mkuu?
 
Daah mi mwenyewe mkuu nilikua nawaza Nguruwe ila huu uzi umeibua mmbo mengi ya kuzingatia
Sijui nifuge nini, kila ntakachofikiria nakutana na comment kua ni hasara sasa sijui niombe ajira tena au

Labda huu ushauri wa Prof.
Hapa unamaanisha kuku wa kienyeji mkuu au wa kisasa?
 
Daah mi mwenyewe mkuu nilikua nawaza Nguruwe ila huu uzi umeibua mmbo mengi ya kuzingatia


Labda huu ushauri wa Prof.

Hapa unamaanisha kuku wa kienyeji mkuu au wa kisasa?
Kuku wa kienyeji mkuu hao huwa hawana shida kabisa ila kama utataka kufuga wa kisasa hapo unatakiwa uwe na mtaji mkubwa wa kuanzia.
 
Kuku wa kienyeji mkuu hao huwa hawana shida kabisa ila kama utataka kufuga wa kisasa hapo unatakiwa uwe na mtaji mkubwa wa kuanzia.
Sukran sana mkuu Prof. kitu kingine ni soko la hawa kuku na mayai hasa wa kienyeji, limekaaje?
 
Unafugia wapi mkuu? Nina ndoto nao huu mfugo
 
Hv hizo drinker hao nguruwe hawawezi kuzmong'onyoa kwa minguvu yao?
 
Duuu gan mie ndo nnamalzia, taratb za mwisho il nianze ufugaj cjui itakuaje
 
Mm npo dar tunawezaje kufanya hiyo project???
Nina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 44.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawili tumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo kiromo.ninauza plot nilipojenga mradi pamoja na mradi wenyewe.Nina vijana wawili wanaosimamia ambao wako wazuri tu na wamiinifu.lengo nauza mwezangu anataka finance ya haraka ya tender nyingine aliyopata na ule ni mradi Wa kusubiri.more info.picha zilikuwa kwenye simu nyingine ilingia virus mpk niende shamba.inbox me if interested in buying the project.malipo kwa installment mbili pia inawezekana kwa kuandikishana kwa mwanasheria.whatssap 0786057996 or call 0756 661761.
 
Nina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 34.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawili tumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo kiromo.ninauza plot nilipojenga mradi pamoja na mradi wenyewe.Nina vijana wawili wanaosimamia ambao wako wazuri tu na wamiinifu.lengo nauza mwezangu anataka finance ya haraka ya tender nyingine aliyopata na ule ni mradi Wa kusubiri.more info.picha zilikuwa kwenye simu nyingine ilingia virus mpk niende shamba.inbox me if interested in buying the project.0756661761 or whatssap me 0786 057996
 
MKUU,ULIFANIKIWA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…