Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ntakumaliza Leo ww,,, uongo wote ulioropoka kwa sakina nshaambiwa
 
Asante sana kwa somo zuri kujengea Tanzania ya viwanda
 
Angekuwa anakula majani hiyo hoja yako inekuwa na mashiko sasa ngurue alacho hupatikana mjini ukimfuga bush huoni itakuwa garama kusafirisha chakula?
Nguruwe anakula majan laini na kipindi cha masika ndo nawapa hata mchicha majan ya viazi yaan malando wananenepa na wanakuwa hawana mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…