Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Naomba kupata namba ya huyo mwenye mbegu nzuri huko mapinga
 
mada nzuri haina udini, ina utaifa tu. Ritz1 hawezi gusa hapa na udini wake
 
E bana naweza kukutembelea amoeba huko uliko nijionee ndugu yangu ufugaji ulivyo wa nguruwe? please.


 
E bana naweza kukutembelea amoeba huko uliko nijionee ndugu yangu ufugaji ulivyo wa nguruwe? please.

This was my next question Kiloba (hope sio original). Mjomba Amoeba tunaomba urudi na utujibu hili please tuko more than serious. Nahisi kama naidhulumu nafsi yangu kuendelea kukaa kwenye hili dawati na hii keyboard 10-12 hrs a day for same pay at the end of the month.
 

Mnisamehe wakuu kwa kutotembelea uzi huu kwa siku kadhaa.
Kutembelea inaruhusiwa na kubadlishana ujuzi wakuu, sasa hv naelekea Iringa kutafuta shamba la project nyingine, baada ya week hope nitarejea then ntakujuzeni wakuu. Tupeane ratiba zenu tu!
 
Mnisamehe wakuu kwa kutotembelea uzi huu kwa siku kadhaa.
Kutembelea inaruhusiwa na kubadlishana ujuzi wakuu, sasa hv naelekea Iringa kutafuta shamba la project nyingine, baada ya week hope nitarejea then ntakujuzeni wakuu. Tupeane ratiba zenu tu!

This is cool Ameoba ahsante kwa kurespond kwenye hili na PM pia. Well, tunakutakia safari njema ya Iringa (kwa kiasi fulani nimetokea huko pia so nimeguswa). Tutafurahi sana kupata feedback baada ya hiyo wiki moja. Personally ninakuwa na muda week-end japo hata week days ninaweza kuutafuta kwa ajili ya kutembela hiyo project yako. Of course iko wapi project nayo itakuwa ni determining factor pia. So limalize hilo la Iringa ili tuweze kujipanga vizuri. Once again, tunakutakia safari njema na kila la heri kwa linalokupeleka huko.
 
We ni Wakala wa sera ya JK ya Kilimo kwanza eeh?

Mbona hujaweka effect ya SWINE- FLU, ambayo inaweza kuwamaliza nguruwe wote kwa wiki 1?
Kwa nini usifikirie wewe mwenyewe kumalizwa kwanza? unaacha kufanya vitu eti kwa sababu ya kumalizwa!! negative thoughts.
 
Wana Jf. Naomba msaada nina eneo langu km heka moja msata nataka nianzishe ufugaji wa nguruwe.nifanyeje ili niweza pata faida 3mil baada ya mieizi 3.kujua soko?naamba mchanganua wa kitaalam?
 
Miezi 3 ni kidogo mno?.inachukua miezi 6-8 kumlea nguruwe hadi awe tayari kuuzwa kwa nyama au kuweza kupata mimba.Hata kama unataka kuuza watoto unahitaji week 5 hadi 8.mie nimekuwa na study hii biashara for sometimes now na nimeanza kufuga 4 months ago.the best way ni kuanza na nguruwe kama 10 hivi wenye mimba ambao watazaa within a month..pia ni vema kufuga shamba ambako pia unalima mahindi au mtama alizeti au ufuta.gharama kubwa ya kufuga ni chakula.At the moment mchanganyiko wa chakula cha nguruwe una cost about 1200/kg lakini ukilima mwenyewe inakuwa about 450/kg:.nguruwe mmoja anakula 2-3 kg kwa siku.
Soko kubwa lipo Dar es salaam.hauhitaji kupeleka huko,wanunuzi wanakuja shamba.waweza kuuza baada ya kuchinja(inalipa zaidi) au live weight ambayo pia nzuri na convinient
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…