Mbona hii link yako haifunguki, kama vipi niadd 0764255990, thanks in advanceHello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe
Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....
Click link ifuatayo kujiunga......
Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI
TSA- PIG FARMING
Kumbe ata banfa badoWadau wa sehemu hii mumekuwa potential sana kwangu kwani post zenu nazikubali sana. Muda si mrefu nitaanza kuuza nguruwe kwani kwa sasa niko hatua za mwisho kumalizia banda. Natarajia shift moja kuuza nguruwe wapatao 50-70, naomba mwenye kujua sehemu ambako kuna soko la uhakika anisaidie. Niko pia tayari kuuza kwa contract. Niko Chato-Geita.
Heshima zenu ndgu.

unauza bei gani na jee hilo shamba ni la nan na kwann umeamua kuuzaHabari Za asubuhi,kama kuna mtu anataka kujenga banda la mifugo la mabanzi nijulishe nauza mabanzi na mabati ya banda langu la nguruwe bagamoyo pmj na tank na solar iliyokuwepo Shamba kwa bei ya maelewano tu.kwa mawasiliano zaidi kwa wale watakaokuwa interested kununua 0756-661761/0754840408.
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe
Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....
Click link ifuatayo kujiunga......
Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI
TSA- PIG FARMING
Hayo mabanzi ni mapya? Na yapo mengi? Nataka nisafirishe Arusha ndani ya June kwaka huuHabari Za asubuhi,kama kuna mtu anataka kujenga banda la mifugo la mabanzi nijulishe nauza mabanzi na mabati ya banda langu la nguruwe bagamoyo pmj na tank na solar iliyokuwepo Shamba kwa bei ya maelewano tu.kwa mawasiliano zaidi kwa wale watakaokuwa interested kununua 0756-661761/0754840408.
Kama unalenga kupata watu, hayo mambo unayosema tuyafuate kwenye page weka hapa watu wayaone. Sio wote wataenda kwenye hiyo page.Habari za siku nyingi wana Jf.
Tuna mshukuru Mungu,tumeweza kuendelea vema na ufugaji nguruwe hadi kuagiza mbegu bora kabisa za nguruwe ambazo sasa tunazalisha kusaidia wafugaji wengine kuboresha ufugaji wao.
1.Waweza kuangalia na kujifunza kuhusu product zetu kupitia instagram page yetu:malafyalepigfarms
au waweza bonyeza link hii kufikia page yetu
2. Pia tumeandika kitabu kizuri sana kuhusu muongozo wa ufugaji nguruwe kinaitwa "Kanuni za Ufugaji Nguruwe Wenye Tija"
ambacho kinapatikana mikoa yote.Waweza wasiliana nasi kwa namba hii: 0789412904
Nakubaliana na wewe ndugu.Ni kweli pia kwamba kuna watu watakuja huko.Ipo hivyo kila siku,wapoKama unalenga kupata watu, hayo mambo unayosema tuyafuate kwenye page weka hapa watu wayaone. Sio wote wataenda kwenye hiyo page.
kaka hicho kitabu mbona umeweka picha tu?,vip kama ukituwekea na soft copy original,utakuwa umesaidia wengi!...,Habari za siku nyingi wana Jf.