Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Yani unasema umri wako ni kati ya miaka 30-40 ina maana hujui una miaka mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dume mmoja wa nguruwe anaweza kumiliki majike wangapi wa nguruwe?
 
Lile group la ufugaji bado lipo? Kuna mtu nmempa link inagoma.anataka kujiunga.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…