Mukundumbusya
Senior Member
- Aug 11, 2016
- 168
- 143
Uzi umejaa mafumbo tele. Ka ulikuwa na jambo jema mpaka akaliweka hapa, basi ingekuwa vema uweke wazi watu wajue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha uwiiKweli asilimia kubwa ya watanzania tumevurugwa
Hahaha! Karibu sanaUkienda kumuuzia nistue nikupeleke usiende peke yako
sijakuelewa, ulisema ufugaji wako unafanyia ulaya, partnership tutafanyaje sasa?pia kwa anaetak partnership ya ufugaji wa popo na bundi natarajia kuanza kat ya mwezi wa saba hv naweka mambo sawa pamoja na kujua utaalamu wake na kupata vibali, mnakrbishwa sana
Seriously nyau 200 mimi hata huyo mmoja siwezi kukaa nayeNgudu wa jamii habari zenu.
nimeanza ufugaji wa paka nilianza na paka majike manne na dume moja sasa hv nina paka takribani mia hamsini na natarajia ikifika mwezi wa sita nitaweza kufikisha paka kati ya 200 -250.
Faida kubwa ya kufuga paka ni kuwa huwafugi kweny banda unawaachia wanlala ndn na hawachafui mazingira.
Pamoja na masoko nliyonayo pia kwa wanajamv weny kujua soko jingine la uhakika la paka aniPM ili tuweze kufanya biashara.
oda inaanzia paka kumi na kila paka ishirini nakupa discount kubwa.
na pia natoa elimu ya jinsi ya ufugaji mzur wa paka.
Sasa si wanazagaa hovyo???? Kwann usiwe unawanunulia chakula tu wawe wanashinda nyumbani.sometimes nawanunulia kwa kuwa wananiingizia hela but muda mwingne nawaacha wanaenda kujitfutia tu pia kuna hawa british short hair huwa nawapa extra care maana ni ghali sana na ngumu kuwapata
wa kawaida tu locally ,sio wale wa kutoka australia,us,mara somalia hapanaunao wa aina gn mkuu
Daah hili balaa sasa...Ngudu wa jamii habari zenu.