Ufugaji wa paka

Ufugaji wa paka

Nimesoma kila kurasa, watu wameuliza vimaswali lakin majibu si yaliyonyooka. Tueleweshe na sie tuelewe ndipo tuweze kutafakari kuwa itakuwa fursa au sio. Msaada wako tafadhali maisha yanachangamoto.
 
Me Nadhani Mkuu ungeanza Kwa kutoa Elimu Watanzania Wengi atuna Elimu Ya Ufungaji wa Viumbe Unavyo vitaja..Otherwise uwe umeleta theard kimzaa..

TUELEZE
1.Biashara Ya paka kivip Inafanyika?
2.Kivipi unaweza Kuwafuga?
3.Kivipi unapata Soko?
4.Kivipi Unapata Faida?
 
pia kwa anaetak partnership ya ufugaji wa popo na bundi natarajia kuanza kat ya mwezi wa saba hv naweka mambo sawa pamoja na kujua utaalamu wake na kupata vibali, mnakrbishwa sana
sijakuelewa, ulisema ufugaji wako unafanyia ulaya, partnership tutafanyaje sasa?
 
Ngudu wa jamii habari zenu.
nimeanza ufugaji wa paka nilianza na paka majike manne na dume moja sasa hv nina paka takribani mia hamsini na natarajia ikifika mwezi wa sita nitaweza kufikisha paka kati ya 200 -250.

Faida kubwa ya kufuga paka ni kuwa huwafugi kweny banda unawaachia wanlala ndn na hawachafui mazingira.

Pamoja na masoko nliyonayo pia kwa wanajamv weny kujua soko jingine la uhakika la paka aniPM ili tuweze kufanya biashara.
oda inaanzia paka kumi na kila paka ishirini nakupa discount kubwa.

na pia natoa elimu ya jinsi ya ufugaji mzur wa paka.
Seriously nyau 200 mimi hata huyo mmoja siwezi kukaa naye
 
sometimes nawanunulia kwa kuwa wananiingizia hela but muda mwingne nawaacha wanaenda kujitfutia tu pia kuna hawa british short hair huwa nawapa extra care maana ni ghali sana na ngumu kuwapata
Sasa si wanazagaa hovyo???? Kwann usiwe unawanunulia chakula tu wawe wanashinda nyumbani.
 
Daah NIMESTAAJABU na nimecheka sana... ULIMWEMGU UNA MAMBO!!
 
aisee na Mimi ninao sita wakubwa wawili wadogo 2 months wapo wanne

kwa anayehitaji aje pm tufanye biashara
mimi wameshanichosha kila movement ninayoifanya wako nyuma yangu na makelele juu,
 
aisee na Mimi ninao sita wakubwa wawili wadogo 2 months wapo wanne

kwa anayehitaji aje pm tufanye biashara
mimi wameshanichosha kila movement ninayoifanya wako nyuma yangu na makelele juu,
unao wa aina gn mkuu
 
Ngudu wa jamii habari zenu.
nimeanza ufugaji wa paka nilianza na paka majike manne na dume moja sasa hv nina paka takribani mia hamsini na natarajia ikifika mwezi wa sita nitaweza kufikisha paka kati ya 200 -250.

Faida kubwa ya kufuga paka ni kuwa huwafugi kweny banda unawaachia wanlala ndn na hawachafui mazingira.

Pamoja na masoko nliyonayo pia kwa wanajamv weny kujua soko jingine la uhakika la paka aniPM ili tuweze kufanya biashara.
oda inaanzia paka kumi na kila paka ishirini nakupa discount kubwa.

na pia natoa elimu ya jinsi ya ufugaji mzur wa paka.
Daah hili balaa sasa...
 
Back
Top Bottom