Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Natengeneza raised ponds kwa kutumia liners na ma banzi...hii njia n8 cheap na hauhitaji kuchimba chini ardhi yako. Karibu nikufanyie kazi nzuri....0768520042

Naomba uweke picha ya sample... Na je usalama wake ukoje
 
Naomba uweke picha ya sample... Na je usalama wake ukoje

unajua advantage zake na umefanya research juu ya how efficiency ya growth rate ya samaki can be affected by residuals za ayo mabanzi. na je mabanzi ayo Ni ya mti gani? je iyo njia yako imekua accredited na wizara kama njia moja wapo ya fish farming? ahsante
 
ndugu zangu napenda niwape angalizo moja juu ya fish farming Tanzania. kama hauna utaalamu from recognised institution not Ni bora utafute mtaalamu kwani Pdf documents za google na watu wengne Ni from nje ya Tanzania na uhalisia kuna different scenario kati ya Tanzania na nchi nyingne based on research so kueni makini mnoo
 
Napenda sana huo mradi jaman. Wish that nianze leo but mtaji bdo nahangaikia.
 
jamn nihataji kujua..maji ya kisima yenye chumvi kwa mbali..yanafaa kutuka kufugia??
 

Hapana ndo maana nimemwomba jamaa aweke sample na maelezo kdg
 

Mkuu mabanzi yanatumika kama frem wala hayagusani na maji. Disadvantage ya njia hii ni kwamba ktk sehemu za joto kali zile plastic liners hazidumu sana.

Lakin njia hii ni nzuri ki management kama ilivo kwa tanks, ya haraka, popote hata kama umepanga na ni ya bei nafuu.
 

kawaida kwa tilapia unaweza kuchukua hata miez 8 kuvuna sasa na kwa mkoa kama Dar ambapo temperature ina vary sana inakuaje kwa kipind hiko efficient ikoje. na unaweza weka sample ya attachments. binafsi Ni expect in fisheries and aquaculture na nafanya consultation ya fish farming kwa watu wengi so naweza kukusaidia kupata kazi kama ntaona njia yako Ni nzuri zaid. na mfano wewe bwawa la kama mita 15 kwa 20 inagarimu kias gani kwa RAF bajer
 
pilot..sawa..ndo inafanyajwe??..

yani Ni kama jaribio tuu. uchukue ao samaki hata watano au kumi then uwa eke kweny container ndogo for some days uone what will happen kama wataweza kukaa over 24hr basi Ni oky
 
sawa mkuu...

Tafiti zinaonesha tilapia wa maji baridi(sato) anakuwa vema hata kwenye maji ya umunyu kufikia 10. Pia anaweza akazoezwa hata hali ya umunyu mpaka 15.

Pamoja na njia ya kiongozi hapo juu, unaweza kumuomba mtaalam aje kukupimia hali ya umunyu. Kama unataka kuanza mradi mkubwa peleka sample ya maji ubungo maji pale na majibu yapeleke wizara ya mifugo watakusaidia kutafsiri.
 
Natengeneza raised ponds kwa kutumia liners na ma banzi...hii njia n8 cheap na hauhitaji kuchimba chini ardhi yako. Karibu nikufanyie kazi nzuri....0768520042

Tunaweza onana tukabadilishana mawazo. mimi nilikuwa na idea ya mabwawa au matank ya mbao. Hivyo nimefurahi kuona unafanya ya mabanzi
 
a. Haumbi kibali bali ni vema ukajiregister katika Idara ya Ufugaji Samaki kwa ajili ya kutambulika tu. Mpaka hakuna taratibu kuomba kibali TFDA na wala hakuna.masuala.ya.TRA
 
Kwanza nikupongeze kwa kujali umuhimu wa hawa wenzetu maafisa/ madaktari wa ufugaji samaki. Maana wakulima wengi wamekuwa.hawafuati management inayotakia katika kuwatunza samaki.

Wataalam wa ufugaji samaki wanapatikana katika wizara ya mifugo na uvuvi, maafisa uvuvi wa wilaya (baadhi). Inategemea upo wapi.Kuhusu gharama ni makubaliano yenu.
 

Habari! nahitaji vifaranga vya kambale. Je naweza pata hizo contact?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…