Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Habarini wakuu, ninampango wa kufuga samaki katika bwawa la kujengea, VP inahitaji mtaji wa milioni ngapi kwa bwawa lenye ukubwa wa roboheka
 
bukoba boy, Habarini wakuu, ninampango wa kufuga samaki katika bwawa la kujengea, VP inahitaji mtaji wa milioni ngapi kwa bwawa lenye ukubwa wa robohekari
 
Nitafute nikupatie kijana mmoja ni mtaalam kwa sasa anasimamia uchimbaji rufiji. No 0654742072
Habarini wakuu, ninampango wa kufuga samaki katika bwawa la kujengea, VP inahitaji mtaji wa milioni ngapi kwa bwawa lenye ukubwa wa roboheka
 
salaam
Naiomba namba yake tafadhali

asante.

 
Naomba namba zako nikutafute tafadhali.
 
wana JF vipi kuhusiana na magonjwa ya samaki gusieni kwa kuongeza ufahamu zaidi
 
Nimeamua kuingia kwenye hii kazi ,nimechagua eneo Mkoani Singida ambako nimechimba mabwawa mawili kila moja Lina sifa zake Hili ni bwawa #1 wakati wa uchimbaji mwezi 8na hali yake ilivyo kwa sasa ,bado sijapandikiza vifaranga
 
Na hili ni bwawa # 2 ambalo halina chemchem limechimbwa kwenye bonde linakinga maji ya mvua yasiendelee na safari
 
huku zanzibar hakuna soko ilo, samaki wa maji baridi wanazaliana tu kwenye madibwi ya maji hamna anaewataka, hasa ao kambare...
 
Ingawa hakuna samaki "kamilifu" kwa ajili ya kilimo, zifuatazo ni sifa nzuri za kibiolojia na kiuchumi wakati wa kuchagua samaki bora kwa kilimo. Aina za samaki zinapaswa:

kuwa na uwezo wa kuzalisha kifungo;
kuzalisha mayai mengi na yenye nguvu na mabuu (vijana);
kuwa na mahitaji ya utamaduni maalumu;
kuwa na uwezo wa aina nyingi za mifumo ya utamaduni;
Kuwa na uwezo wa kilimo cha aina nyingi (polyculture);
kuonyesha ukuaji wa haraka kwa ukubwa mkubwa wa ukubwa;
urahisi kukabiliana na feeds bandia;
kuwa na uvumilivu wa hali ya kuongezeka na wiani;
kuonyesha viwango vya juu vya maisha (vifo vya chini);
kuwa rahisi kushughulikia, mavuno, na usafiri;
kuwa sugu kwa magonjwa na vimelea vya vimelea;
sio kuwa wachache au wilaya;
kupata urahisi kama mayai, vidole, na watu wazima;
na mahitaji ya soko la juu;
kuonyesha kiwango cha juu cha uongofu;
Uwe na maadili mzuri ya mavazi ya nje;
uwe na maisha ya muda mrefu wa rafu;
kuwa rahisi mchakato;
kuwa na muonekano mzuri na rangi;
kuwa na sifa nzuri za kula;
wameona uwezo wa mapigano sana;
kuwa catchable.
 
Nimependa somo lako; ahsante sana; niko njiani kujaribu kufuga nyumbani kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…