SURA YA KWANZA
UCHAGUZI WA ENEO KWAAJILI YA UJENZI WA BWAWA LA SAMAKI
*sifa za kuzingatia katika kuchagua eneo zuri la ufugaji wa samaki
1.maji
kwanza kabisa yatupasa kujua chanzo cha maji utakayo tumia katika bwawa lako je eneo unaloenda kuchagua katika ujenzi wa bwawa je maji yanapatikana, maji yakiwa yanapatikana basi kwa hatua hiyo sehemu hiyo inafaa
2.samaki unaotaka kufuga[emoji476]
pia ichi ni kitu cha kuzingatia sababu ya kupasa ujue samak unaohtaji kufuga wanapatikana pia je chakula kinapatikana muda wote na hali ya hewa inaruhuxu kuwa fuga
3.miundo mbinu[emoji922][emoji590][emoji362]
pia ichi ni kitu cha kuzingatia wakati wa uchaguzi wa eneo la kabla ya kujenga bwawa inatakiwa uzingatie huduma za kijamii zipo karibu ili kusudi uweze kufanikisha katika ukulima
4.usalama [emoji359]
pia hiki ni kitu muhimu ili ufanikishe katika ufugaji inatakiwa uchague sehemu iliyo salama
5.aina ya bwawa unalotaka kujenga[emoji1456]
pia hiki ni kitu muhimu maana aina ya bwawa unalo taka kujenga ndio litakuambia kuwa ni eneo gani kupasa kuchagua
6.masuala ya sheria[emoji421][emoji433]
hili pia ni suala muhimu maana yatupasa kufuata sheria zote za mazingira kabla ya kufanya maamuzi hayo ya kufuga.
wasiliana nasi kwa uchimbaji wa bwawa la kufugia samaki, vifaranga vyote sato, sangara na kambare.
call us ;: 0745478823, 0657570212
Sent using
Jamii Forums mobile app