Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Mbona mmekimbia tena?
 
Malila,
Kuna mabwawa ya mabanzi na karatasi. Kwa Mbeya naweza kupata karatasi wapi kwa anayejua ndugu zangu?
 
Msaada uleaji wa samaki sato 1. Mchanganyiko wa chakula 2. Kiasi cha chakula anachokula kulingana na umri wake 3. Chakula special (pillet) kinapatikana wapi hapa tanzania mi niko mbeya. 4. Hulishwa mara ngapi kwa siku. Samaki hzaa vifanga wangapi
 
Karibu kwa maelezo yote kuhusu ufugaji wa samaki.

Bei ya KAMBALE kwa kifaranga kimoja ni 370/=

Bei kwa SATO kwa kifanga kimoja 150/= mpaka 100/= kwa breed tofati. KUTOKANA NA JINSIA



Tafadhali piga namba +255768905700
 
Hii strategy ya biashara mnayotumia kusubiri watu wapige simu ni ya kimwinyi na imepitwa na wakati. Mbuni mbinu nyingine ili kupata wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…