Ufugaji wa Samaki Wenye Tija: Fahamu Kuhusu Ufugaji wa Samaki Jinsia Moja

Yanauzwa wapi na kwa bei gani
Kwa Dar es salaam ni Tegeta Nyuki

Bei ya Pond liner ni tofauti kulingana na thickness na ubora wa liners (Nylon sheets)
0.5mm = 6000 Tsh
0.75mm= 7500 Tsh
1mm = 9500 Tsh

Size ya bwawa unalotaka au idadi ya samaki unaotaka kufuga ndio itatoa hesabu kamili ya nylon sheet yenye ukubwa gani inafaa kwa mahitaji yako.
 
Kwa mita au?
 
Hizo kemikali mnazowapa zimenitisha ..I will stick with Changu , Tasi , Kolekole na jodari
 
Hizo kemikali mnazowapa zimenitisha ..I will stick with Changu , Tasi , Kolekole na jodari
Sio kemikali ni hormone ya kiume inayomfanya samaki wawe na sifa na tabia za kiume, inaitwa 17 alpha methyltestosterone

Nasisitiza, hamna madhara yoyote kwa mtumiaji
 
Sio kemikali ni hormone ya kiume inayomfanya samaki wawe na sifa na tabia za kiume, inaitwa 17 alpha methyltestosterone

Nasisitiza, hamna madhara yoyote kwa mtumiaji
Yaani jike anabadilishwa jinsia kubwa dume au mnamuongeza hormes anakuwa na tabia za kiume ..mfano samaki dume mnafanya anakuwa shoga yaani anaweza pandwa na madume ..and you are telling me hakuna madhara...
 
Yaani jike anabadilishwa jinsia kubwa dume au mnamuongeza hormes anakuwa na tabia za kiume ..mfano samaki dume mnafanya anakuwa shoga yaani anaweza pandwa na madume ..and you are telling me hakuna madhara...
Labda nashindwa kueleweka vizuri kwa sababu ni vigumu kuelezea kwa usihihi kwa kiswahili naomba nielezee kwa kiingereza labda nitaeleweka vizuri

The sex of Tilapia larvae can be influenced by the hormones they are exposed to during early development. When the larvae hatch (up to about two weeks old), their sex is not yet determined. At this stage, if the fish are fed food mixed with specific hormones, they can be directed to develop either male or female physical traits, even though their genetic makeup remains unchanged.

For example, if male hormones (such as 17α-methyltestosterone) are added to the feed, the fish will develop physical and functional characteristics of a female, even though they have the male genotype (XY). Similarly, if female hormones (such as estrogen) are used, the fish will develop male traits but have the female genotype (XX). This process is known as "sex reversal," where the fish's physical sex does not match their genetic sex, due to the hormonal treatment they received during early development.
 
Naomba kiunganishi kwa wauzaji
 
Samaki 100 italamba tshs ngap kwa lailo hilo
 
Ntarudi...
 
Samaki 12,000 gharama ya bwawa na nylon 0.75mm
Tukiwaweka samaki 12,000 kwenye bwawa moja kwa stocking density ya samaki 10 kwa mita moja ya mraba (10fish/m²) itatulazimu kuwa na bwawa kubwa lenye mita za mraba 1,200 (1,200m²).

Bwawa moja lenye ukubwa wa 1,200m² ni kubwa sana, ni vigumu sana **** hasa kipindi cha mavuno au wakati wa kufanya sampling

Hapa unapaswa kuwa na mabwawa mawili yenye ukubwa wa mita za mraba 600 (600m²). 600m² + 600m²

Gharama za uchimbaji sio constant itategemea na mazingira

Utahitaji pond liner yenye ukubwa wa mita za mraba 704 (704m²) kwa bwawa la kwanza lenye ukubwa wa 600m². Gharama yake ni 5,280,000

Pia utahitaji pond liner yenye ukubwa wa mita za mraba 704 (704m²) kwa bwawa la pili lenye ukubwa sawa la kwanza 600m². Gharama yake ni 5,280,000

Jumla: 10,560,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…