Ufugaji wa Samaki Wenye Tija: Fahamu Kuhusu Ufugaji wa Samaki Jinsia Moja

Naomba kuulizia kuhusu hayo mabwawa unayoweza kuweka nyumbani..Je Kuna vibali vinahitajika
 
Hapana amna haja, vibali ni kwa wanaotaka kufanya uwekezaji mkubwa ambayo inaweza kuleta matokeo hasi kwenye mazingira

Wawekezaji wakubwa ndio wanapaswa kwenda NEMC kwa ajili ya vibali
 
Back
Top Bottom