opala JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 420 Reaction score 1,010 Mar 8, 2025 #61 Naomba kuulizia kuhusu hayo mabwawa unayoweza kuweka nyumbani..Je Kuna vibali vinahitajika
BwanaSamaki012 JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 212 Reaction score 250 Mar 8, 2025 Thread starter #62 opala said: Naomba kuulizia kuhusu hayo mabwawa unayoweza kuweka nyumbani..Je Kuna vibali vinahitajika Click to expand... Hapana amna haja, vibali ni kwa wanaotaka kufanya uwekezaji mkubwa ambayo inaweza kuleta matokeo hasi kwenye mazingira Wawekezaji wakubwa ndio wanapaswa kwenda NEMC kwa ajili ya vibali
opala said: Naomba kuulizia kuhusu hayo mabwawa unayoweza kuweka nyumbani..Je Kuna vibali vinahitajika Click to expand... Hapana amna haja, vibali ni kwa wanaotaka kufanya uwekezaji mkubwa ambayo inaweza kuleta matokeo hasi kwenye mazingira Wawekezaji wakubwa ndio wanapaswa kwenda NEMC kwa ajili ya vibali