Mama timmy
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 656
- 212
Ni vyema pia ukatupa kaujuzi kidogo kwa namna ulipofikia katika ufugaji hususani kwa Sungura, kwa mfano;Habari wanajamii?mimi ninafuga sungura na njiwa kwa kuwa nawapenda sana ila nafahamu kwamba nikipata elimu ya namna ya kuwa fugu kit salami au kwa mtu Mwenyezi useful nao naomba anielekeze namna mabanda Yao yajengwe na namna ya kufanya sungura wangu watunze watoto wao ili wasife.
Unafuga kibishara kwa kujifurahisha tu?
Mama timmy
nina vitabu vidogo viwili raising and keeping rabbits part 1&2 ... nilipewa na mtu mmoja wa FAO telefood program .... maelezo yote from A to Z utayapata in very simple and understanding language
kama unahitaji do not hesitate to contact by pm ...
available free of charge[/QUOT
Nilikua nafuga kwa kujifurahisha na mboga hapa home lakini sasa nataka nifuge kibiashara.mwenye utaalamu nao hasa namna ya kuzuia wasiue watoto wao
Sungura huliwa sana Misri hupimwa kwa kilo wakiwa hai,huuzwa kama kuku sokoni,unaweza ukanunua watatu wakapimwa kwenye mzani na wakachinjwa hapo hapo ,kisha ukaweka kwenye rambo tayari kwa kupika ,wao hudai ni white meat,eti nyama yao ni kama ya kuku,da mie siwezi kula sungura nawaona kama paka vileMama timmy labda tu nikueleze kwa ufupi
Kuhusu utunzaji wa watoto hiyo inategemea na aina ya Sungura.. sungura wa kienyeji (mara nyingi huwa wana mabaka) ni wavumilivu sana, huwa wanazaa watoto wengi na kuwatunza vizuri i.e anaweza asiue mtoto hata mmoja lakini hawa wakisasa kama wale weupe wenye macho mekundu (tuwaaita mchina) ni wasumbufu na wakizaa huwa hawawajali watoto wao .. anaweza kuzaa watoto 7 watano wakafa ndani ya wiki 1..
sungura anapenda sana kuishi sehemu isiyo na sakafu na yenye giza giza.. huwa wanachimba mashimo marefu sana na kuzaa humo humo.. watoto wakishaota manyoya anawatoa nje (njia hii ni hatari sana c'se wanaweza kuangusha nyumba)... kama una ardhi ndogo unawaweza kuwajengea mabanda ya mbao ya ghorofa yenye cuts nyingi halafu chini ukawekea udongo/maranda/pumba za mpunga iliwapate mazingira yao ya asili na joto vinginevyo wakizalia juu ya mbao au sakafu watoto ni lazima wafe
magonjwa: sijawahi kumuona sungura wangu aumwe lakini papasi huwa wanawapenda sana kwahiyo inakubidi uwe unapulizia dawa kwenye banda lao mara kwa mara au uwe unawapaka dawa ya unga (nzuri zaidi).. bila kusahau kuchoma moto yale madongo/pumba wanazolalilia baada ya wiki kadhaa
Sungura huliwa sana Misri hupimwa kwa kilo wakiwa hai,huuzwa kama kuku sokoni,unaweza ukanunua watatu wakapimwa kwenye mzani na wakachinjwa hapo hapo ,kisha ukaweka kwenye rambo tayari kwa kupika ,wao hudai ni white meat,eti nyama yao ni kama ya kuku,da mie siwezi kula sungura nawaona kama paka vile
Kumbe Misri wanakula sungura, nilisikia kuwa hawali wanyama wenye kucha na kwamba ni haram.
Njiwa nilionao ni wa kawaida na pea mbili za njiwa tausi.naomba utakapopost picha za Banda Lako uweke na picha za hao njiwa waziri ulionao kaka yanguNjiwa unaofuga ni njiwa koko au species tofauti? Mimi nina njiwa wa kutoka nchi tofauti tofauti kama american fantail pigeons, nun pigeons, african owl pigeons, chinese owl pigeons, king pigeons na nun pigeons. Hawa nafuga kama hobby na biashara kwa kuwa pair moja inacost kati ya laki mbili mpaka laki saba. Kesho nitapost bandalangu la njiwa.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
naanimini soko lipo kwani kwa hapa home tu nikisema Leo nauza sungura wanajitokeza watu.ujue Nyama yake tamu sana kuliko hata kuku.nataka nifuge kibiashara zaidi.Soko lake unalo?
Njiwa nilionao ni wa kawaida na pea mbili za njiwa tausi.naomba utakapopost picha za Banda Lako uweke na picha za hao njiwa waziri ulionao kaka yangu