Ufugaji wa sungura na njiwa wenye tija

Mkuu Ms,

Naomba unipe bei za njiwa wako uliowataja, nafuta michango yote ya sendoff mwaka huu ili niweze kuwanunua hawa njiwa na kuwafuga shambani kwangu.
 
Njiwa hawa ndiyo nawaota kila siku.nitawapata wapi Kama hawa?:help:

Kuna sehemu niliwaona sungura wakiwa ktk cage za ghorofa za mbao, ni Morogoro kwa padri fulani. Mbegu ni nzuri sana, rafiki yangu aliwachukua. Naamini kupitia yy tunaweza kupata habari kamili.
 
Kuna sehemu niliwaona sungura wakiwa ktk cage za ghorofa za mbao, ni Morogoro kwa padri fulani. Mbegu ni nzuri sana, rafiki yangu aliwachukua. Naamini kupitia yy tunaweza kupata habari kamili.
Hope watakuwa mbegu kubwa kwani mi nina mbegu ndogo sana.nakupm sasa hivi.
 
siku moja nilikuwa naangalia citizen ya kenya walisema kwamba kilo moja ya nyama ya sungura inafika 8,000 kwa pesa za tz . wao walikuwa wanafuga sungura wanaoweza fikia kilo 10. pia walisema bei ya ngozi yake iko juu mno. walisema pia demand ya nyama inazidi supply. unaweza fuga na ukaenda mabucha kadhaa ya ng'ombe mkaelewana ukawa unauzia hapo nyama.
 
Hiyo ni kweli kabisa ndugu yangu.nashukuru kwa ushauri wako na nitaufanyia kazi ndugu yangu
 
So unaweza hata kuexport Kenya kama soko la hapa linazingua
 
Mohammed shossi naomba kusikia kutoka. Kwako ndugu yangu.njiwa Hao nitawapataje?
 
So unaweza hata kuexport Keny kama soko la hapa linazingua
Mi siamini Kama soko la hapa linaweza kuzingua ndugu yangu.ila hata kuexport itawezekana kabisa hasa tukifanya kaumoja Fulani hivi cha wafuga sungura,tukafuga mdogo mdogo mpaka tukafikia Malengo ndugu yangu sabayi.:bowl::welcome:Kidole kimoja hakivunji chawa
 
Watoto wa Mao wanakula sungura ile mbaya, huna haja ya kufikiria soko kivile, wewe watafute kwenye Macontainer yao halafu uwalengeshe kwako uone.
 
Watoto wa Mao wanakula sungura ile mbaya, huna haja ya kufikiria soko kivile, wewe watafute kwenye Macontainer yao halafu uwalengeshe kwako uone.
Nashukuru kwa kunipa moyo kaka yangu.nikipata mbegu kubwa ndo nitatulia na kufanya ufugaji wenye akili.nina sungura wa kwaida sana
 
Ni Kweli Mama Timmy tukifanya in Large Scale itakuwa rahisi zaidi kuexport in case soko la hapa limekuwa gumu na uzuri wa sungura hawana gharama kubwa sana kufuga na risk yao kufa sio kubwa sana kama kuku wa kisasa
 
Natamani tuwe wengi halafu tushirikiane ktk changamoto za ufugaji na ikifika wakati wa kutafuta soko tunatoa mzigo kwa pamoja ndo italipa vzr kusikia mmoja mmoja.
 
Natamani tuwe wengi halafu tushirikiane ktk changamoto za ufugaji na ikifika wakati wa kutafuta soko tunatoa mzigo kwa pamoja ndo italipa vzr kusikia mmoja mmoja.

wengi wangapi dada?
 
Mkuu Ms,

Naomba unipe bei za njiwa wako uliowataja, nafuta michango yote ya sendoff mwaka huu ili niweze kuwanunua hawa njiwa na kuwafuga shambani kwangu.
Malila kaka yangu mbona Kama mohammed shossi am.etutamanisha njiwa halafu akatoweka.jamani Kama kunamtu Anajua njiwa Kama hawa wanapatikana wapi naomba anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…