π π π Wakielewa niambieSiku za mwanzoni za uchumba wangu na Mangi. Alikuwa amesafiri siku anarudi nilifanya maandalizi ya kum surprise na mtori fresh.
Ndege yaje ilikuwa inatua saa nne asubuhi. Niliamka saa kumi alfajiri nikaanza kupika mtori. Saa 3.30 nilikuwa Airport kumsubiri.
Tumefika nyumbani nilianza kuupasha moto mtori wakati Mangi anaoga. Si niliuunguza. Ninamuwekea mezani ananiambia hii harufu ya kuungua imeharibu kabisa lakini mtori ni mtamu.
Nilijuta kheri ningepasha moto kwenye microwave.
Unaundugu na pdidy na j.manyerere?Siku za mwanzoni za uchumba wangu na Mangi. Alikuwa amesafiri siku anarudi nilifanya maandalizi ya kum surprise na mtori fresh.
Ndege yaje ilikuwa inatua saa nne asubuhi. Niliamka saa kumi alfajiri nikaanza kupika mtori. Saa 3.30 nilikuwa Airport kumsubiri.
Tumefika nyumbani nilianza kuupasha moto mtori wakati Mangi anaoga. Si niliuunguza. Ninamuwekea mezani ananiambia hii harufu ya kuungua imeharibu kabisa lakini mtori ni mtamu.
Nilijuta kheri ningepasha moto kwenye microwave.
mtori= papuchiSiku za mwanzoni za uchumba wangu na Mangi. Alikuwa amesafiri siku anarudi nilifanya maandalizi ya kum surprise na mtori fresh.
Ndege yaje ilikuwa inatua saa nne asubuhi. Niliamka saa kumi alfajiri nikaanza kupika mtori. Saa 3.30 nilikuwa Airport kumsubiri.
Tumefika nyumbani nilianza kuupasha moto mtori wakati Mangi anaoga. Si niliuunguza. Ninamuwekea mezani ananiambia hii harufu ya kuungua imeharibu kabisa lakini mtori ni mtamu.
Nilijuta kheri ningepasha moto kwenye microwave.
Kuzingatia sheria taratibu na kanuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] Kwahio unashauri nini ? Tusiweke ufundi kabsa au.
ngoja nijaribu kuelewa
hahahamie nimeshikwa na umbea hafu sielewi..lol
Kwa hiyo waliosema kwamba usirete karufundi kwenye mwili wa mwenzio walikuwa sahihi!!!Siku za mwanzoni za uchumba wangu na Mangi. Alikuwa amesafiri siku anarudi nilifanya maandalizi ya kum surprise na mtori fresh.