Ufundii mwingi huishia kuharibu

Ufundii mwingi huishia kuharibu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Siku za mwanzoni za uchumba wangu na Mangi. Alikuwa amesafiri siku anarudi nilifanya maandalizi ya kum surprise na mtori fresh.

Ndege yaje ilikuwa inatua saa nne asubuhi. Niliamka saa kumi alfajiri nikaanza kupika mtori. Saa 3.30 nilikuwa Airport kumsubiri.

Tumefika nyumbani nilianza kuupasha moto mtori wakati Mangi anaoga. Si niliuunguza. Ninamuwekea mezani ananiambia hii harufu ya kuungua imeharibu kabisa lakini mtori ni mtamu.

Nilijuta kheri ningepasha moto kwenye microwave.
 
😀 😀 😀 Wakielewa niambie
IMG-20180817-WA0087.jpg
 
Unaundugu na pdidy na j.manyerere?
 
mtori= papuchi
inaonekan uliiremba sana papuchi mpaka ukaharibu kazi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] Kwahio unashauri nini ? Tusiweke ufundi kabsa au.
 
Siku za mwanzoni za uchumba wangu na Mangi. Alikuwa amesafiri siku anarudi nilifanya maandalizi ya kum surprise na mtori fresh.

Ndege yaje ilikuwa inatua saa nne asubuhi. Niliamka saa kumi alfajiri nikaanza kupika mtori. Saa 3.30 nilikuwa Airport kumsubiri.

Tumefika nyumbani nilianza kuupasha moto mtori wakati Mangi anaoga. Si niliuunguza. Ninamuwekea mezani ananiambia hii harufu ya kuungua imeharibu kabisa lakini mtori ni mtamu.

Nilijuta kheri ningepasha moto kwenye microwave.
Kwa hiyo waliosema kwamba usirete karufundi kwenye mwili wa mwenzio walikuwa sahihi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom